Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES

Ngoja aje kula shaba kabis

Kwa sababu sumu waliyoitengeneza bado ipo
 
Pole pole angepuuzia tuu majira huwa yanatabia ya kubadirika, yeye akae zake kimya upo wakati wake utafika tuu.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook. #GADITVUPDATES

Mbona kuna vyma vingi tu kama udp. Cuf, act anagangania nini?
 
Polepole anahamisha magoli na yupo kimkakati tu kutuhamisha kimawazo akishirikiana na tiss. Hakuna kitakachomkuta kwani analindwa na mfumo. Sijihaingaishi kumfuatilia kwani mtego wake nilishaung'amua kitambo. Anaandaa mazingira ya mapokezi ya maamuzi ya jaji juu ya kesi ndogo ya uhaini. Hizi mbinu za kisoviet zilishashindwa na namshauri aepuke kutumiwa Kama alivyojigeuza sehemu ya mfumo aliokuwa anaupinga!
Unayoyaona mkuu ndiyo yanayotokea nchi hii kiongozi gani mwenye akili nyingi kiasi hicho hamna chochote mnawa over rate tu
Hawa wamepoteana kweli
 
Watu wakipiganie chama,wakichangie,wakitetee miaka na miaka we we uingizwe kinyemela juzi alafu useme wote mkosawa!??
Polepole asidanganywe na maandishi in practice mambo hayawezi kuwa hivyo mgeni mgeni tuu.
 
Polepole nenda Polepole ili usianguke. Ila sio mbaya muda sio mrefu na yeye atavuna alichokipanda kipindi cha Mwendazake.
Unajua ni raha kukanyaka wenzako ila siku na wewe ukikanyagwa ......
Alikuwa hajui kuwa hajui
 
Maisha yanakwenda kasi sana.

Kutoka kuwapigia simu mawaziri na kuwapa amri mpaka kuitwa kiroboto na mtu kama nape.

Amma kweli hakuna aijuae kesho.
Ukila nyama ya mtu na ikaisha huku bado uchu haujaisha,utaomba unywe na mchuzi kwa kugugumia hata kama bado mchuzi ni wa moto!Let them rot in hell! Hooligans!
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook.
Polepole yako sahihi Nape yuko wrong Tena sana hajui CCM aliyempa cheo Nape CCM alikosea
 
Huyu jamaa mbona anatumia nguvu sana!!!
Mara shule ya uongozi mara wahuni.
Mbona kulikuwa na uhuni wakati ule ulipokuwa unatembelea vieite na uliufyata fya?

Usipanic acha na wengine wale ww shukuru kwa kidogo ulichobakishiwa maana hata benchi hukutakiwa uonekane.
 
Polepole anahamisha magoli na yupo kimkakati tu kutuhamisha kimawazo akishirikiana na tiss. Hakuna kitakachomkuta kwani analindwa na mfumo. Sijihaingaishi kumfuatilia kwani mtego wake nilishaung'amua kitambo. Anaandaa mazingira ya mapokezi ya maamuzi ya jaji juu ya kesi ndogo ya uhaini. Hizi mbinu za kisoviet zilishashindwa na namshauri aepuke kutumiwa Kama alivyojigeuza sehemu ya mfumo aliokuwa anaupinga!
Funny, TISS ni state property sio personal property, Polepole hana madaraka ndani ya Serikali ya Samia.
Amebakia kuwa mbuge aliyeteuliwa na Raisi,bahati mbaya Mama Samia ndio Raisi mwenye uwezo wa kutenguwa ubunge wa Polepole.
Kakalia kuti kavu lakini hajitambui.
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook.
Polepole unachanganyikiwa Kama nisawa ilikuaje membe benard afukuzwe uanachama kisa kutaka kugombea urais kwenye mmchakato ndani ya chama!!!!
 
"Kwenye CCM binadamu wote ni sawa haijalishi uanachama wako uliupata wakati wa African Association (AA) au TAA au ASP au TANU au Babako alikuwa kada au Babako au Mamako alikuwa Kiongozi kwenye chama au hata kama huna rekodi kama za wanaojiita wenyewe au ulikuwepo Mwaka 1977 tarehe 5 Februari, mbele ya CCM sisi wote ni sawa." Mhe. Mbunge, Humphrey Polepole katika Ukurasa wake wa Facebook.
Kama Nape na Mzee Bulembo wana ubavu waje wapinge hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom