Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,181
Usini- underestimate kaka
hehehe baelezee. hawajui wenzao tunafanya fantasy dressing kabisa na maisha yana ladha ya ziada? Mwanaume anejiamini bwana, hasumbuliwi na lolote. Kuna yule mama sijui ndio mkuu wa trafic tanzania? Aisee ana ndevu nyingi na hanyoi wala nini! Kuna siku nilimuambia mshikaji huyu mama angenunua mashine anyoe daily. Alinijibu ningekuwa na access nae ningemtongoza hadi anipe! Nilishangaa kweli, yeye mvuto wake ni mwanamke mwenye ndevu na nywele kifuani hahaha. Nikawa mpole ( nilijigundua hata mechi ya kirafiki sipewi :wacko::wacko🙂
Haaaahaaa...sijakuanda estimate...natafuta nafasi ya kukaa karibu na askari ili mambo yangu yawe mazuri.