Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

naona unaitaka lockup iwe rafiki yako

hamna lockap wala nini mzee hayo ni mambo ya watu tu mimi mke wangu ni askari tangu nimuoe ni miaka
10 sasa imepita alikua gd leo ni trafic .hana shida yoyote maswala ya kazi yanaishia hoko hoko akija nyumbani ni mama mwema wa familia tena amenisapot kweli na mimi nimekua mtu mbele za watu kwanzia
heshima mtaani si mme wa askari heshima kibao...hum watu wanapotosha tu wewe kama mwaname kamili iweje umwogope mwanamke kisa eti ni askari
 
Mbona mm naona kama hoja ya kuchapiwa haina mashiko,maana naon mtaani wanaume wengi wanachapiwa na hawajaoa askari,kama unafuu ni kwa sekta zote wanawake wanachapwa ili kuupata,japo wapo wengi wasioendekeza hiyo kitu,unamkuta mdada anacompete hadi unaapreciate,akipewa nafasi ya kuongea na kutenda anaconstruct ideas za kueleweka,elimu yake nzuri nani atamuweka juu kama si kwa juhudi zake?Askari wa kike tumekuwa nao mitaani kawaida unahisi uaskari unawabadirisha kimapenzi,huu ni udhaifu na kutojiamini,kuna dada mmoja ni askari namfahamu ameolewa na mwalimu ni mama mwema anayependa familia yake na kuuvaa umama kikamilifu mbele ya mumewe,nzuri zaidi anamzidi sana mumewe kipato kitu ambacho wanawake wa mtaani ingekuwa shida
 
mimi mpenzi wangu askari magereza wala sitaki kufikilia km wananagegedea! Mimi akitoka lindo nakuja nafumua vya kutosha kiroho safi. Ila tatizo ni moja tu uwe mvumilivu maana kuna wiki unamkosa kitandani.
 
Kwa madhumuni ya thread hii, neno askari lina maana ya polisi, wanajeshi, zima moto, uhamiaji, askari magereza pamoja na migambo.
______________
Kiukweli maaskari wa kike wanakuwa wapweke sana. Ni wachache sana wanaopata wapenzi ambao si maaskari wenzao.

Uchunguzi wangu umeabaini ya kuwa wanaume wengi huwachukulia maaskari wa kike kuwa huwa wanagegedwa na maaskari wenzao hasa wakati wa lindo la usiku. Hivyo wanaume wengi hawapendi kuwaoa wakiamini watakuwa wanagegedewa wake zao.

Mbali na hilo, pia maaskari wanawake wakiwa wamevaa uniform baadhi ya wanaume huogopa kuwasimamisha na kuanza kuwachombeza kwani ni dhahiri kwamba watu wengi huamini uniform za maaskari zinatisha.

Hivyo mwisho wa siku askari wengi wa kike hujikuta wakiishia kutembea na askari wenzao bila kupata radha tofauti kama vile za wahasibu, waandishi, waalimu n.k

Swali: Je, ni wanaume wangapi hapa JF wana wapenzi maaskari? Je, umewahi kumsimamisha askari wa kike ukamuomba hata namba ya simu?

MAASKARI WA KIKE POLENI SANA KWA UPWEKE.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Hi hapa professor wanafanya mitihani tumpe huyu Associate Professor tuone atapata ngapi
 
Last edited by a moderator:
Sheria Za Nchi Haziluhusu Kumtongoza Mwanamke Akiwa Ndani Ya Sare Za Kazi,ila Akivua Ruksa, Ndiomaana Wale Maaskari Trafic Walioonekana Wakipeana Utam Walipewa Adhabu, Ila Wangekuwa Hawajavaa Sare, Ilikuwa Fresh Tu.
 
Hi hapa professor wanafanya mitihani tumpe huyu Associate Professor tuone atapata ngapi

Alafu neno Askari kwa maana yeyote ile inayotumika duniani inamaanisha NCO's [afisa asiye na kamisheni] kwa maana hiyo hapo wenye kamisheni wote umewatoa
 
wat wengine bwana! kama hauna la kusema si unakaa kimya tu mnasubiri thread za watu kazi yenu ku edit title tu hivi jana si kuna mmoja kaja na mada kama hii hapa?

Sasa kama mimi sikuona jana nimeona leo acha ubinafsi kama ukiona au kujua kitu elewa wapo ambao hawajaona.
 
Back
Top Bottom