Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Nawatafuta sana sana aisee kuna askari mmoja anaitwa Rose yuko pale Salender Police dah niliishia kuchukua namba yake tu, yaani kama kuna mtu anamfahamu binti ambaye ni askari na yuko single and available seriously ani-PM tu

Yaani huwa najiskia raha sana kuwa nao
 
Uaskari ni majukumu ya maisha tu, anatomy ni ileile na hata physiology ni ileile tu. Psychologia ya utii kwa mabosi ndo inawavurugia maana wanajisahau wanapoongea na raia kijeshijeshi vile, kwani wamezoezwa kimazingira kazini kwao.

Ukiogopa kuomba namba ya simu ni woga wako tu, labda ni mhalifu unaogopa mambo yako asijegundua na kukugeuzia kibao, maana bosi wake akimtuma kukukamata ni story tofauti.

Wamewezaje kuwa na watoto sasa kama wanaogopwa, kwani unadhani wote wamezaa na maafande wenzao? La hasha. Unaongelea ladha tofauti, utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe, lakini pipi inabakia kuwa pipi.
 
Kuna mmoja yuko f.f.u.mtaa jirani halafu single,nshaingiza c.d imesoma.nikimkamataaaaaaaaa! Atanijua mimi nani,ila nahisi kuna libosi lamega pale maana ana r.e. Romantic eyes,alafu mweupeeeeee utadhani kakaa japan miaka mitano.
Sijui kama vibosile wa pale ukonga makao ya f.f.u.wamemwacha.
 
Mtuache miaka 800

Tanzania-Female-police-network-members-sing-at-the-event.jpg
 
Wewe usijali anachoandika kama umemzimikia anza kushusha mistari yako. Tena nikupe ujasiri wanawake wanaojuwa sana ambao siyo vichwa panzi hawana tabu kabisa akikupa go ahead amemaanisha na akikataa piga u turn potea.

Nikweli kamanda nina Rafikiangu mmoja askari wa kike yuko vzr sana anaishi na BOSS wake sasa hapati Burdan ikabidi amtokee jamaa yangu daah..aburudikaje? kamwambia jamaa yangu kwamba wanaume wakawaida wanawaogopa...kwahiyo jamaa kaambiwa yy akiwa na ham atadhamini game yt yy awetayari kumhudumia tu...
 
Dah hili nalo neno kuna Askari Mmoja yupo pale airport Dah.. Mtoto mbichii ukimweka posta na kumpiga kimodo ka nancy summary.... Sasa tatizo lunch gari ya tzr linamleta hadi mlangoni..ngoja kesho nmnunulie thoda
 
Hivi mwanaume mzima mnawaogopa wanawake? Mimi skuli mbona nilishamtongoza mwalimu na hata yeye akashangaa mimi najiamini kitu gani?
 
Hivi mwanaume mzima mnawaogopa wanawake? Mimi skuli mbona nilishamtongoza mwalimu na hata yeye akashangaa mimi najiamini kitu gani?

Ah ah kaka hata simba mwenyewe Akienda kuwinda lazima awachambue wanyama wake.....ukijifanya kichwakichwa huchelewi pigwa Pembe...ila we kiboko au ulikua umecheleweshwa shule ukawakuta wale wa voda fasta mnapishana miezi
 
Kichwa ngumu tu tuliopita secondary miaka ya 90's hapakuwa na walimu voda fasta labda waliomaliza form six waliokuwa wanasubili kuingia University.
 
hahahah duh nimeipenda hii ya kuwatokea Ma Afande, kuna baadhi nina contact zao lakini sijawahi kufikiria kuwatokea
 
mbona mimi naona poa sana wale jamaa tena na wanaifanya hiyo kama kazi ya ziada....
 
MCHUNGUZI HURU

Mkuu fanya research yako vizuri.Watu wanaogopa kuchukua polis kwasababu moja ya msingi niwale vibaka watu wamaDili mjini wanaogopa issue zao
 
Last edited by a moderator:
Kuna demu mmoja ni hakimu mahakama ya kisutu wakati anatoka University ndio walikuwa wanasema ni mkali na mnoko sana lakini nilihakikisha namla, ila ameshaolewa kwa sasa, nikienda na legal docs zangu kwake ni dakika mbili tu ameshanisainia na mihuri miye huyoo.

kumbe na ww unapenda michepuko.
Haya bhana jipange
 
Nawatafuta sana sana aisee kuna askari mmoja anaitwa Rose yuko pale Salender Police dah niliishia kuchukua namba yake tu, yaani kama kuna mtu anamfahamu binti ambaye ni askari na yuko single and available seriously ani-PM tu

Yaani huwa najiskia raha sana kuwa nao

mkuu umesema rose??? Yukoje? Kama namfaham?
 
Back
Top Bottom