Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Kusema ukweli wanaanza kupiteza mwelekeo wanaoenda depo, wanatumiwa sana hadi wanaona hicho kishimo hakina thamani kwani wanatumikavtena sio kwa hiari yao binafsi, kwa lazima. Si wife material kabisa, ni wanawake navkila mwanamke anatamani aolewe hata kama sio wa kuolewa. Ni mtazamo tu
 
Chakula cha hiari hiko xcha maboss,uki deal nao hao mkugongana sahani moja na CO basi ujue utahamishiwa Ngaraa...kama adhabu vile

Ukipelekwa Ngara si advantage?Kwanza mpakani na pameendelea...all social services available
 
mpaka a graduate ahsaliwa sana uko depo, maana kuanzia mwalimu wa mazoezi ili ampunguzie mazoezi, kamanda wao, anayetoa marks, anayepanaga aende wapi na akifika kazin anayepanga vituo nk kwa kweli ni shida ila ndo ivyo siwalaumu askari wa kiume kwa kuwala hawa wadada maana kila mtu anakula sehem yake ya kazi ukitaka kuoa dada askari its for your own peril
 
Jamani hawa maaskari wa kike wanapenda sana kutongozwa na wanaume wa kawaida kama wanawake wenzao.kuna siku nilikamatwa na askari wa kiume sababu nilikuwa overspeed kwa watu wanaosafiri mikoani wanaelewa.basi yule askari akanielekeza nikaandikiwe faini kwa askari wa kike.nilivyofika kwa yule dada nikamwambia hii Mara ya tatu nakuona natamani nikuombe namba yako lakini u serous wako unafanya nishindwe.akaanza kuiliza wewe unafanya kazi wapi ikabidi nimuongopee nafanya kazi kwenye wilayani mkuranga kama internal auditor na sijaoa.tuliongea mengi mwishoni alinipa namba yake na sikutoa hata shilingi kumi
 
Kuna demu mmoja ni hakimu mahakama ya kisutu wakati anatoka University ndio walikuwa wanasema ni mkali na mnoko sana lakini nilihakikisha namla, ila ameshaolewa kwa sasa, nikienda na legal docs zangu kwake ni dakika mbili tu ameshanisainia na mihuri miye huyoo.
 
swala la kugawa halina prosheni...
tatizo maaskari kazi yao tu ndo huenda inawapa hofu wanaume especially kipengele cha DORIA mmh!!!
 
Ninarafiki yangu askari wa kike anasema huwa hawatongozwi uraiani
 
tatizo wamekomaa sana bhana mguu kama mchezaji mpira au mwanariadha me nataka vitu lainii...hawapo romantic kabisaa hawa watu.
 
Akili ya mtu tu, wako wenye akili na hadhi zao safi kabisa!!!!!
 
yani mi uwa naona mapenzi si sehemu yao. Dah.!
Kweli huruma sana.
 
dem wangu mjeshi akija tupa gwanda keleee barabarani wanamuogopa akija kwangu kama priton
 
Kongosho una pembe toka lini tena?

Wewe usijali anachoandika kama umemzimikia anza kushusha mistari yako. Tena nikupe ujasiri wanawake wanaojuwa sana ambao siyo vichwa panzi hawana tabu kabisa akikupa go ahead amemaanisha na akikataa piga u turn potea.
 
Back
Top Bottom