kumbe na ww unapenda michepuko.
Haya bhana jipange
Mtuache miaka 800
![]()
warembo hao
hahahah duh nimeipenda hii ya kuwatokea Ma Afande, kuna baadhi nina contact zao lakini sijawahi kufikiria kuwatokea
Dada wa makamo hivi, amjazia vizuri tu, ana weupe fulani ila pia nadhani hata mchina kahusika kidogo pale. ndio huyo?? Alinikama siku moja maeneo yale nikaishia kupeana namba za simu......mkuu umesema rose??? Yukoje? Kama namfaham?
Anafananafanana na huyu? Mbna mnawaogopa hadi mdada kaamuwa kuwatega ili muone neema za Allah!Dada wa makamo hivi, amjazia vizuri tu, ana weupe fulani ila pia nadhani hata mchina kahusika kidogo pale. ndio huyo?? Alinikama siku moja maeneo yale nikaishia kupeana namba za simu......
Baelezee hasa huyu MUCHUNGUZI HURU anaamini eti Wahasibu na Wahandisi wanweza wakutwa Wanajjeshi kwa ligwaride la Kitandani km hawakuishia kimoja na vishombo vya biaUngejua soko letu lilivyo juu! Usingesema
Nimekumisi sana FirstLady1, upo mpenzi?
Dada wa makamo hivi, amjazia vizuri tu, ana weupe fulani ila pia nadhani hata mchina kahusika kidogo pale. ndio huyo?? Alinikama siku moja maeneo yale nikaishia kupeana namba za simu......
Nimeshamjua huyoKuna mmoja yuko f.f.u.mtaa jirani halafu single,nshaingiza c.d imesoma.nikimkamataaaaaaaaa! Atanijua mimi nani,ila nahisi kuna libosi lamega pale maana ana r.e. Romantic eyes,alafu mweupeeeeee utadhani kakaa japan miaka mitano.
Sijui kama vibosile wa pale ukonga makao ya f.f.u.wamemwacha.
Kumbe na wewe ni askari? Au askari wa mitandaoni?
King'asti tena mimi ukinivalia combat ndio unanimaliza kabisa.
Askari wa kike wa Kagame hawaoni ndani.
Ungejua soko letu lilivyo juu! Usingesema