Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Poleni kwa upweke Maaskari wa kike

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Kwa madhumuni ya thread hii, neno askari lina maana ya polisi, wanajeshi, zima moto, uhamiaji, askari magereza pamoja na migambo.
______________
Kiukweli maaskari wa kike wanakuwa wapweke sana. Ni wachache sana wanaopata wapenzi ambao si maaskari wenzao.

Uchunguzi wangu umeabaini ya kuwa wanaume wengi huwachukulia maaskari wa kike kuwa huwa wanagegedwa na maaskari wenzao hasa wakati wa lindo la usiku. Hivyo wanaume wengi hawapendi kuwaoa wakiamini watakuwa wanagegedewa wake zao.

Mbali na hilo, pia maaskari wanawake wakiwa wamevaa uniform baadhi ya wanaume huogopa kuwasimamisha na kuanza kuwachombeza kwani ni dhahiri kwamba watu wengi huamini uniform za maaskari zinatisha.

Hivyo mwisho wa siku askari wengi wa kike hujikuta wakiishia kutembea na askari wenzao bila kupata radha tofauti kama vile za wahasibu, waandishi, waalimu n.k

Swali: Je, ni wanaume wangapi hapa JF wana wapenzi maaskari? Je, umewahi kumsimamisha askari wa kike ukamuomba hata namba ya simu?

MAASKARI WA KIKE POLENI SANA KWA UPWEKE.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Last edited by a moderator:
Sina mpango nao kabisaaa wenyewe nao wanajifanya watemi hata romantic hawapo loh labda yule askar wa kenya
 
Duh! Mgambo teh teh ...
Ila uhamiaji hawako kiaskari sana, wapo kiofisi.
 
ni dhana tu wako maaskari wengi wameolewa na wanaheshimu ndoa zao. Kuna wengne si maaskari wako maofisini hawaendi lindo usiku lakin wanazini huko huko ofisin tena mchana
 
Hao uhamiaji waondoe kwenye list.
 
Naamini hawa wa Rwanda, hilo kwao si tatizo.
 

Attachments

  • 1409716374823.jpg
    1409716374823.jpg
    82.2 KB · Views: 1,701
Chakula cha hiari hiko xcha maboss,uki deal nao hao mkugongana sahani moja na CO basi ujue utahamishiwa Ngaraa...kama adhabu vile
 
Jamani mbona wako poa sana, mchepuko wangu ni askari wala hana tatizo.
 
We ukioa askari unakua huna akili ni sawa na chizi maana yule bila kuachia papuchi kwa matop hawezi kupata unafuu kazini kwahiyo unaweza kujiona upo mwenyewe kumbe mpo 12
 
Back
Top Bottom