Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

Mkuu tunakujua nje ndani usianze kupandisha mabega.
Mbona mama yako na dada zako tunawaona wamepauka kinoma hapa Karakana Singida au nikutumie picha ya nyumbani kwenu maana hata kwako huna.
 
Sio kwa ufundi wako ni majaaliwa tu...
Kama kusoma wote tumesoma na kuhusu kufanya kazi kwa bidii basi hapa hakuna mzembe lakin tunakula chai ya 500 na chapati za 1000...

Ila alhamdulillah wife anapendeza,watoto wanasoma,ki crown changu kimeua starter sina hela ya service na vimpunga vipo store,tunaishi...
Hakuna Cha Maajaliwa huko ni kujifariji kisenge
 
najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3
majivuno

hali ya kujiona

kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily
limbukeni

mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza

Lakini pole sana. Hata sisi wenye hela tunawaelewa tushapitia hayo maisha
beza

shushia hadhi mtu kwa maneno au vitendo

ila jamani msiokuwa na zali na hela mpunguze majukumu
dharau

kosa kuthamini mtu au kitu; vunjia mtu heshima

nikisema hela zimenikubali huu mwaka ni kweli zimenikubali ila pia shukrani kwa 1xbet umeninulia pair 6 za viatu jumla million moja umeninulia iphone 17 mpyaa aisee niseme nini
Kuna mtu humu ndani, kupitia uzi fulani alisema hivi kuhusu mtu anapopata kiasi fulani cha hela.

"Mara nyingi hela huikuza (amplify) tabia yako ya ndani iliyojificha."

Yaani unakuwa na ile tabia ila huwa haionekani mpaka upate hela!!!!!!!
 
Hii pole yako naipokea kwa mikono miwili huku mfukoni nikiwa na elfu 16 tu na penyee nimeagiza bia mbili za mawazo. Bia nyingi nataka ila walau hii ten itakayobaki niipeleke home madogo wakauone usiku.

Maisha haya, faken kabisa
 
Wewe mtu wa singida sasa yule mke wako ulimuachia nani? Ila nakushukuru miaka fulani zamani ulipa dili kwenye minada ya singida nilipata hela, tupe njia sasa za kufika Thailand
 
Sio kwa ufundi wako ni majaaliwa tu...
Kama kusoma wote tumesoma na kuhusu kufanya kazi kwa bidii basi hapa hakuna mzembe lakin tunakula chai ya 500 na chapati za 1000...

Ila alhamdulillah wife anapendeza,watoto wanasoma,ki crown changu kimeua starter sina hela ya service na vimpunga vipo store,tunaishi...
Maisha ndio haya haya mkuu wala mtu asikupe presha
 
Back
Top Bottom