BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 827
- 2,162
Sasa milioni tano ni hela gani hiyo au utoto unakusumbua?
Yeah na yeye mwenyewe anakubali kwamba ndipo alipotokeaUna kumbukumbu kama mimi. Siku hizi dogo ana swaga kama za Mpwayungu Village. Kusifia mambo ya kipuuzi.
leo nimeamua kuwapa pole ndugu zangu wote ambao mpaka leo hela imewakataa Pole sana ndugu zangu… najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3
kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily, tunachezea hela kamari… halafu tunalala kwa amani. yaani nina mwaka sijanywa vinyau sijui konyago sijui pombe fake fake hahah
Wewe unapata hela leo, unaanza kuhesabu Kodi… chakula… umeme… ada… deni…
Kabla hujamaliza kuhesabu, hela yenyewe imeshafariki.dah me vyote hivyo nishavisahau
Lakini pole sana. Hata sisi wenye hela tunawaelewa tushapitia hayo maisha
Na msijali, sio kila mtu ameumbwa kuwa na hela nyingi. Wengine Mungu aliwapa kipaji cha kuomba bro nipe hata 10k, kesho narudisha. mtu akiniambia hana hela namwambia Pole sana mkuu, ni suala la muda tu.Lakini ndani ya moyo najua hiyo “muda” imeanza 2017.
ila jamani msiokuwa na zali na hela mpunguze majukumu watoto wawili tu wanatosha.una nuksi na hela unazaa watoto wa5 wanini
Mama Samia, Nchimbi na wengine waendelee na majukumu yao huko. Sisi huku tunahangaika na hela zetu za kula, kunywa na kuchezea. nina zaidi ya miezi mitatu account haijashuka chini ya million 5 hadi nacheza golf siku hizi aisee
Kwa hiyo ndugu zangu msio na hela narudia tena kuwapa pole Mungu awafungulie milango ya riziki, maana kwa baadhi yenu mlango umefunguliwa mara tatu lakini mko busy mnaangalia dirishani.natamani kuwaonyesha miamala yangu na gari nayotumia kwa sasa ila basi tu ukweli mnaujua nikisema hela zimenikubali huu mwaka ni kweli zimenikubali ila pia shukrani kwa 1xbet umeninulia pair 6 za viatu jumla million moja umeninulia iphone 17 mpyaa aisee niseme nini siwezi kueleza baba ninakushukuru
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda zako hazielezeki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Niseme nini? Siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Umefanya mengi, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Baraka zako hazihesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Bali ninakushukuru
Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamin
View: https://youtu.be/epc06JASVu0?si=ADbdaCojPjygmOY-
Mzee mzima mwenzangu tusiyokuwa na hela tuna nyanyasika sana 😄 mbonaI wish.
umeongea kwa hisia kali sana mkuu, inshaallah kila kitu kitakuwa sawa one dayHongera sana Ndege John, kiukweli hata sisi tunatamani sana kuwa na 10m kwenye account, kuwa na apartment kadhaa mjini, kuwa na biashara zenye return kubwa. Ila ndio hivyo maisha yanatuchapa.
Mkuu,umeongea kwa hisia kali sana mkuu, inshaallah kila kitu kitakuwa sawa one day
Kwanza huo wimbo naupenda sana.binti kiziwi tunae mdogo wetu huku amekua tajiri.
Jambo la kufurahisha ndege JOHN
anakiri kabisa kwamba ni kwa Neema tu na sio nguvu zake, ameambatanisha na wimbo kusindikiza furaha ya baraka zake.
Kwanza huo wimbo naupenda sana.
Hanya…Mnyampaa uyu mufurhu furhu, lakini kama ilivyo ada ya watu wa kwetu, akili ipo ya kutosha. 😅
I hope unafahamu kuwa nimechekaaaa sana kwa uchaguzi wa maneno uliyoyatumia 😂😂Mughwari wa ukhaya.
Sasa maisha ndio yanaenda namna hii, sio unasubiri hadi ukwasi uwe mwingi, unaanza fujo mapema.
Anae gari, anae viwanja, elewa na kuzingatia neno viwanja, nyumba, viatu vya bei, hapo hatujaongelea 17 iphone aaaa huwehe mwakha ni ujie rue ughughura ndeghe.
Kwa ufupi ni kwamba, anaogelea kwenye dimbwi la utajiri. Anaelekea kilindini.
Mnyampaa namuelewa sana, tokea anaweka diary ya mambo yake kila siku. Sasa watu walikua wanafurahia anavyopost mahanfaiko na maisha yenye hitilafu, leo kuweka taarifa mambo yameanza kuwa tambarare ndio nongwa zinaanza.
In fact, huo wimbo niliusikia kwako japo sikuueleqa vizuri kwa vile kipaji kimefilisika hauna kabisa salio.
double chance 12 corners first halfor second half ...games 4 odds 1.6 tia millionTeach me how to bet broo
Hapo unaongea kama mtaalam mwenye mamlaka na ushahidi umeweka wa mikeka.double chance 12 corners first halfor second half ...games 4 odds 1.6 tia million
Sasa wewe ndio mjasiriamaliTeach me how to bet broo