Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Ndio maana nashauri m'ume kumiliki mguu wa kuku, kes km hizo hupaswi kurukwa na akili, bal mtu anatakiwa kuendelea na maisha.. alaaa!!
 
Nilisomesha mwanamke tangu kidato cha 5 mpaka chuo kikuu sijutii na ndo mke wangu na amekuwa msaada mkubwa sana amebadilisha maisha yangu.

Wanahesabika wenye tabia kama za mke wako.
 
life never stops till u die. move on franco
 
Inno laka


Wakati mwingine Mungu hutoa mafunzo,

Kofi la Mungu limempiga kumkumbusha kuwa ana ndugu waliohitaji msaada zaidi ya "mpenzi msaliti."
 
Last edited by a moderator:
Hongera Frank. Umemueleimishwa mwanamke, umeelimisha jamii nzima.
 
Na huenda hakuwahi kugegenda kwamba siku anaoa akute kitu mnato.au bikra....
Hii dunia hiii

Ha ha ha eti unamsomesha mwanamke anawajua vizuri hawa watu au anawasikia???
 
100,000,000,000,like Received....yaani hakuna kosa kubwa kwenye mahusiano kama kumsomesha mpenz...we we we lazima ujute wanawake waacha kama walivyo mimi nawaheshim hapo kweny kubadili maamuz ni dk 1 atakacho fanya huto amini....FRANK wakowengi we acha tu

Huwa naamini kwamba mwanamke ni kama bendera inaweza ikavuma kuelekea upande wowote na kwa wakati wowote nawaogopa sana yaan!!!!!!
 
Hata mke akikaa mbali nawe muda mrefu anaweza rudi na kibendi vile vile sembuse mchumba!
 
Haya ndio madhara ya kuacha moyo uongoze maisha yako....badala ya akili.....
 
Ukitaka kuachwa we somesha mwanamke, halafu ndo utajua. Wangu alikua anajidai, ohh sijui ada, ohh sijui loan board hawajanipa mkopo, namwambia omba tena. Ohh nadaiwa sijui nini, namwambia waambie wazazi wakusaidie. Yaani ni shida. Anakwenda hivyo hivyo hadi sasa yupo mwaka wa pili. Unafnya mchezo nini na kusomesha
 
ooh my GOD kwanini sikujua hili mapema daah
 
Back
Top Bottom