B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
mkuu inawezekana anakunywa kiroba,kijongoo au kirikuu[safari ndogo]au kanda yangu bia yangu ndogo [balimi]maana kama atakuwa anakunywa daily bia 4 kawaida 2500 sawa sawa na 10000 kwa siku kwa siku 30 ni 300000.huyu kweli hawezi kuwa namaisha ya kawaida.Hapo kwenye pombe sikushauri; kujifunza kunywa kama weye si mnywaji kwa minajili ya kuondoa mawazo ni kupotea zaidi; lakini pia nishangae kidogo; kama pesa haikutoshi hii ziada unayopeleka kwenye starehe ya pombe unaipata wapi; na ili ikutoshe unafikiri ni kiasi gani...................jifunze kujinyima siao uache kula lakini kuwa matumizi muhimu na ya lazima mambo mengine kama unywaji yaweke kando kwa sasa