HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Jaribu kutafuta ajira sehemu nyingine maana naona kwa kupitia kazi yako, unatafuta maisha mpaka unasahau kuishi! Pole Mkuu.
Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini mpaka sasa sjatimiza hata moja. Mazingira ya kazi ni magumu sana nafanya kazi 12 hours kwa siku sita. Nimepoteza kabisa morale ya kazi na nataka kuacha kazi ila sijui ntaishi vipi ..mahusiano na mpenzi wangu yamevurugika nimekua mbali sana na familia. Nilikua sinywi pombe ila sasa nakunywa tena kila siku..
asante mama paroko kwa ushauri makini...naomba the finest azidadavue hizo aina za novena ili nielewe zaidi ip itanifaa..loly kazi yenyewe ni out ya niliyosemea chuo..na kazi yenyewe unakua juani mda mwingi ..aisee acha tu..
endelea kunywa pombe acha na kazi? alafu uje utuletee mrejesho wa maisha yatakavyo kuwa!Wandugu tafadhalini naombeni ushauri nifanye nini mimi kijana wenu..nilimaliza chuo kikuu mwaka 2008, nikabahatika kuajiriwa baada ya mwaka mmoja.baada ya ajira nlijiwekea malengo kadhaa lakini mpaka sasa sjatimiza hata moja. Mazingira ya kazi ni magumu sana nafanya kazi 12 hours kwa siku sita. Nimepoteza kabisa morale ya kazi na nataka kuacha kazi ila sijui ntaishi vipi ..mahusiano na mpenzi wangu yamevurugika nimekua mbali sana na familia. Nilikua sinywi pombe ila sasa nakunywa tena kila siku..
endelea kunywa pombe acha na kazi? alafu uje utuletee mrejesho wa maisha yatakavyo kuwa!
HAHA MKUU SI NILIOMBA USHAURI? SIKU HAZIGANDI NDUGU NILICHUKUA MAAMUZI MAGUMU MWAKA 2012, NIKAACHA ILE KAZI, NIKACHUKUA MAFAO YANGU NIANZISHA BIASHARA MUNGU AKANIJALIA MAMBO YAKAENDA VIZURI NIKAWA NAPATA FAIDA MARA DUFU YA MSHARAHARA NIKATOA AJIRA KWA WENGINE,THEN BAADA YA MWAKA MMOJA NIKAPATA AJIRA NYINGINE NZURI SANA, NIKAOWA NIKAJENGA NIKANUNUA USAFIRI NIKAPANUA BIASHARA NIKO MBALI SANA SASA HIVI.endelea kunywa pombe acha na kazi? alafu uje utuletee mrejesho wa maisha yatakavyo kuwa!
I M NO LONGER IN THAT SITUATION. HII ILIKUA 2011Umepoteza morale kwasababu umeanza pombe kama mfariji wako na ukiamka hali ile ile ,pia unataka kuacha kazi wakati huna nyingine unatafuta kurukwa akili,mpenzi akuvumilie ila kaka kama umezidi vile miaka nane hujatimiza lemgo hata moja hela umepeleka wapi?kama unazo hamna shida ila kama na hela huna wewe ndio tatizo badilisha mfumo wa maisha yako.
Mr Rocky habari za Magu,mbona kimya?Mtakatifu wa siku za mwisho aise nakutafuta kama shilingi ya mkoloni