Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

We charminglady, umejuaje kama Nicas ni mwanaume? Sijaona sehemu aliposema ye ni mwanaume? Au unadanganywa na ID na avatar? Chezeya JF eh?

Aisee, hivi leo jumangapi tena?
@Aspirin, nilijua kipindi kile tunafanya uchaguzi wa mawaziri, wakuu wa mikoa hapa JF... Nicas Mtei nitetee basi
 
Last edited by a moderator:
platozoom mie Erotica i am hot and sexy, sometimes sichoki hata kujiangalia kwenye kio.

najaribu kujitoa kasoro nashindwa. sioni. kasoro yangu ni moja tu! I am too hot. I am mischeavious.

calculative. siwi na mtu maishani wa kunipotezea mda awe me ama ke. nipo spontaneous ktk

kila jambo. nipo open sipendi kujifekisha. nipo talented hasa pande za bedroom. hasira hata mimi ninazo.

sipendi kuudhiwa kijinga kabisa. ni mtoto pekee wa familia yetu. nina tabia moja, ukiniumiza kwa lolote. unalo..........

Too classic!
 
MI NI BLACK MBAYAAA...kitaa wananiitajitu la kale plus haya ma dread loh!!
sifagilii kabisaa wa pakaa podaa
sina asiraa ila spendi kujichekeshaa
siku zote na mishemishe zangu hata kuna baazi ya majirani siwajui
mpaka ugundue nimechukiaaa kazi ya ziadaa
 
atakuwa wa kike au wa kiume
sema tu majina yapo kibao.
Wa kike bana. Mi nna aleji na mitoto ya kiume asee. Inajiona ina haaaaki, ukitaka kuuza kashamba kako ukanywe bia yanakuzuia utafikiri yamechangia kununua. Wa kike akishaolewa, akimkatikia mume wake vizuri, mme akifurahia, we unavurumishiwa mihela tu.....

Si unaona hata huku JF nna vijukuu vya kike tu? Stuka!!!
 
MI NI BLACK MBAYAAA...kitaa wananiitajitu la kale plus haya ma dread loh!!
sifagilii kabisaa wa pakaa podaa
sina asiraa ila spendi kujichekeshaa
siku zote na mishemishe zangu hata kuna baazi ya majirani siwajui
mpaka ugundue nimechukiaaa kazi ya ziadaa
B'REAL nimekubali hairee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom