Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,534
Si kawaida sana mtu kujielezea jinsi ulivyo: Mwonekano, tabia na vitu unavyovipenda bila ku-pretend.
Kuna watu hata kusema jinsi walivyo kwao ni vigumu sana pengine kwa hofu ya kudharauliwa, kutengwa, kuchekwa au hata kutishwa.
Kwa sababu twaonana kwa kutumia ID hebu tujiseme tulivyo.

Mimi naanza kusema na kujisema kwa ukweli kabisa:

1. Ni mwanaume, rangi maji ya kunde, mrefu kiasi lakini mwembamba.
2. Rahisi sana kupandwa na hasira lakini mwepesi kujizuia kuzionyesha.
3. Sipendi mtu anidanganye kwa sababu huwa nahisi ananidharau au kuniona mjinga

4. Ni msiri sana..hata nikikuona unafanya jambo baya naweza kupotezea tu labda kama litaniathiri mimi na jamaa zangu.
5. Ukiniomba fedha/kukopa huwa sina maneno ya kuzungusha..nakwambia sina kama sina.
6. Naweza kujua kitu lakini nikajifanya sijui ili nisikie maoni ya upande wa pili.
7. Simwamini mpenzi wangu kwa 100%

Hebu na wewe sema ulivyo, kwa kuanzia akina Erickb52, sweetlady, Erotica, Asprin, Bishanga TANMO, EMT, Mwali N.K.

Last edited by a moderator:
Hahahaaa platozoom
Mimi sitofautiani na wewe hasa namba 2 na 3,4,5,6
Then mi huwa sifichi mtu yan unanikwaza nakuambia straight
Namba 7 simo coz namuamini sana ila sijui kama zinafika100%
Otherwise mi ni Dume la Mbegu full
 
Erickb52 hiyo red sote tupo sawa hatutofautiani........haijafika 100% kwa hiyo kuna mashaka kidogo.Ngoja aone ndio utajua timbwili lake
 
Last edited by a moderator:
platozoom, kunde zipo aina nyingi
Kuna maharage, kuna Korosho etc
Xote ni Kunde. basi weka picha nione
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 hiyo red sote tupo sawa hatutofautiani........haijafika 100% kwa hiyo kuna mashaka kidogo.Ngoja aone ndio utajua timbwili lake
Hahahahaaaa mbona ni kawaida hiyo..
Umwamini 100% kwani ye Mungu?
Hapa haaminiki mtu ukizingatia dunia yenyewe ndio hii ya Sayansi na Technolojia Lol
 
platozoom, kunde zipo aina nyingi
Kuna maharage, kuna Korosho etc
Xote ni Kunde. basi weka picha nione

Hayo maharage na korosho ni jamii ya kunde lakini si kunde kamili........ndio kusema Guest wa Jamii forum ni sehemu ya Jamiiforums lakini si wana Jamiiforums. sawa Mwali mrembo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa mbona ni kawaida hiyo..
Umwamini 100% kwani ye Mungu?
Hapa haaminiki mtu ukizingatia dunia yenyewe ndio hii ya Sayansi na Technolojia Lol

Unaona sasa mambo si ndo hayo Mwali na sweetlady najua wamenunaa i can bet!!
 
Last edited by a moderator:
Hayo maharage na korosho ni jamii ya kunde lakini si kunde kamili........ndio kusema Guest wa Jamii forum ni sehemu ya Jamiiforums lakini si wana Jamiiforums. sawa Mwali mrembo
Hii avatar ya Mwali ni Maji ya Kunde?
 
Hahahaaa platozoom
Mimi sitofautiani na wewe hasa namba 2 na 3,4,5,6
Then mi huwa sifichi mtu yan unanikwaza nakuambia straight
Namba 7 simo coz namuamini sana ila sijui kama zinafika100%
Otherwise mi ni Dume la Mbegu full

Weka picha kijana tehe
 
Unaona sasa mambo si ndo hayo Mwali na sweetlady najua wamenunaa i can bet!!
Mie sijanuna manake na mimi pia simwamini nilienae.....nilishawahi kuingizwa chaka toka siku hiyo nimejifunza.....dunia ya sasa ni kuishi kwa matumaini na kumwomba Mungu tu platozoom
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom