Eti pingu ya mapenzi, watembea nayo garini
Huu kama si ushenzi,basi tuuite nini?
Tummulike kurunzi,huyu Jerry kwa undani
Kama pingu ya mapenzi na ingeachwa nyumbani.
Eti pingu ya mwandani, ya kutumia chumbani
Halafu iko garini, kwa pembeni ya miwani
Ya Wage hiyo miwani,kaisahau jamani
Kama pingu ya mapenzi na ingeachwa nyumbani.
Kama ni penzi la pingu, basitola ni ya nini?
Mapenzi yenye kiwingu, ya kumtisha mwandani !
Akijificha kwa uvungu, hivi talaumu nani ?
Kama pingu ya mapenzi na ingeachwa nyumbani.
hapa kosa si kudai rushwa tu....na utapeli ndani
Watu wengine wako kama wapiga ramli hivi.mkubwa hapo umeshaona kosa tayari? hata kesi haijaenda mahakamani?
Watu wengine wako kama wapiga ramli hivi.
Inabidi utembee nazo mkuu. Unaweza ukapata wale wa MDUARA ukaamua kuzitumia haraka haraka.
tatizo la kubeba vyangudoa.Pingu kwangu inanisaidia sana nikilala na kimada nisicho kiamini amini kinaweza niibia usiku tunakubaliana tu nakipiga pingu tu kitandani kikitaka kwenda kujisaidia kinaniambia tu nataka kwenda haja. Hii ni kulinda masrahi.
mkubwa hapo umeshaona kosa tayari? hata kesi haijaenda mahakamani?
Watu wengine wako kama wapiga ramli hivi.
Pingu kwangu inanisaidia sana nikilala na kimada nisicho kiamini amini kinaweza niibia usiku tunakubaliana tu nakipiga pingu tu kitandani kikitaka kwenda kujisaidia kinaniambia tu nataka kwenda haja. Hii ni kulinda masrahi.
kawaida mbona kuhukumiwa kabla y akusikilizwa!!!!!!!!
alirashidou
alirashidou has no status.
Junior Member
Join Date: Wed Mar 2008
Posts: 5
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
dah!wazee mambo mengine ni kama hayawezekani hivi
kweli b!
Ila hii dhana ya pingu kama oilivowasilishwa na mtumishi MMM, nimeipenda nataka nikaijaribu nyumbani.
Zinauzwa wapi B? nitahakikisha napata risiti just in case.....
tatizo la kubeba vyangudoa.
naungana nawewe kua hapa kuna kitu kimejificha,ila mwisho wa siku ukweli utajulikaka na wapo watakao inamisha nyuso zao chini kwa aibu kubwa watakayoipata,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.lipo jambo litabainika kitambo kifupi tu, umwamba wa kutuonyesha bastola na pingu kama kielelezo ni kiini macho, nakumbuka wakati zombe akituaminisha kina Chigumbi ni majambazi , alicheza mchezo huu ambao Kova anajitahidi kuucheza.
Tangu lini upelelezi wa polisi hufanywa mbele ya vyombo vya habari ? rejea pale walipokua wakipekua gari la Muro, inaonesha walikua na hakika kuwa kuna kitu watakipata humo, maana kwanini uite waandishi wa habari .
__________________
enheeeeeeeeeee tutasikia mengi hapa yahusuyo pingu!!!!!!!
kweli b!
Ila hii dhana ya pingu kama oilivowasilishwa na mtumishi MMM, nimeipenda nataka nikaijaribu nyumbani.
Zinauzwa wapi B? nitahakikisha napata risiti just in case.....