Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 346
Soma hii hapo chini .
Last edited:
Kwa namna gani hamuwahitaji ?Jamani waende tu wachimbe mafuta yao, hatuwahitaji
Mkoloni MWEUSI ,usiombe huko UN huwa hawamtambui wanamwaona bado hajawa educated na hafahamu maana ya mtu kuwa Huru ,sasa hata ukienda kudai unaambiwa jamaa hawana elimu yeyote ile tutafahamiana nao vipi ?Kumbe muungano huu kuna watu wanadai 'unaitwa/wenye kuitwa' kwa maana ya kuwa hawaamini katika muungano
tehe tehe kumbe zenji ni koloni la Tanganyika! wanasubiri nini kwena UN kudai uhuru?
Mwiba,
Mimi nilifikiri unatuletea habari kwamba baraza la mapinduzi, balaza la wawakilishi, wabunge wa zanzibar na mawaziri wa SMZ wamefanya kikao cha pamoja na kutafuta mwanasheria awasaidie kutazama jinhsi ya kuvunja muungano.
Mkoloni MWEUSI ,usiombe huko UN huwa hawamtambui wanamwaona bado hajawa educated na hafahamu maana ya mtu kuwa Huru ,sasa hata ukienda kudai unaambiwa jamaa hawana elimu yeyote ile tutafahamiana nao vipi ?
Sasa mnaona hilo ndilo ambalo hamtaki kulisikia ,haendi mtu UN isipokuwa WaPemba tu wao wana matatizo yao mengine kabisa maana wamewachanganya wote WaTanganyika na Rafiki zao wa Unguja.
AHSANTE Mkuu MWIBA
Ujumbe wetu umefika,mkakati wetu uliobaki ni kuirejesha CCM huko huko ilikotoka,Butiama sijuwi Dodoma,badala ya hapo,mapambazuko ya uhuru kamili yatatimia, we are tired of this so called union.
Wewe inabidi urudi zhule ukazomeshwe vizuri ,hivi unasikia yanayotokea huko China au bado umo usingizini ? Soko la ndani lipi hilo ndugu yangu ? Yaani ukisikia watu wanadandia treni kwa mbele ndio wewe, unajua ni viwanda vingapi vimefungwa China ? Unajua ni watu wangapi wametolewa makazini huko China ?Unajua ni meli ngapi zimekosa mzigo wa kusafirisha na sasa zimeanza kuoza huko katika bandari zao ? Sasa wewe hushangai kuwa wamevamia kariakoo wanauza karanga ? Na nia sio kuuza karanga ni kupata uenyeji na kuwaondoa wazalendo wote hapo ,watanunua na kukodi milango ya maduka kwa bei mtakayowambia ? Kwa maana huko kwao hakuna kinachouzika ,hakuna wanunuzi ,watu awana ela kaka .Ndio wanakuja kuzitafuta hata hizi za madafu.Halafu wanakuuzieni kwa bei ya chini kabisa ,mzalendo wa kariakoo baada ya miaka mitano akatafute jembe akalime. Ndio maana ya utandawazi ,umemsikia waziri akipiga makelele kuwa anawashangaa wachina kuuza njugu kariakoo. Basi rudi zhule mwanangu.kwanza wanafaidika na soko la watanganyika.hao watu 1mil. ni soko gani.China wanajivunia soko lao kubwa la ndani. wanabemberezwa na ulaya maake ukipatasoko hapa umewin. Tuawaache tuone wanazalisha nini na wanauza wapi.
Mwiba,
Hivi nani kasema ya kuwa Zanzibar kuna mafuta, mimi naona kama baraza la wawakilishi wanajadili kitu ambacho hawana uhakika nacho .