Hivi vitu vingine jamani muwe mnawapunguzia kero wake zenu. Badala ya kuwaza mkeo atakufanyia nini, jiulize wewe utamfanyia nini yeye kwanza. Hivi utoke huko kwenye mipombe yako, umkiss mwenzio na liharufu hilo? Kapige mswaki kwanza, tafuna na big g. Afu baba jitu zima kwa nini usinywe responsibly? Unywe hadi ujitapikie afu umshikishe mkeo matapishi yako as if unaumwa bana. Kabla hujawish mkeo akuvumilie, em wish kumpunguzia kero mkeo ili asikuvumilie sana. Mnanichosha mie khaaaa
Ninafarijika sana coz huyu "malaika alotumwa toka mbinguni" yupo nasi alwaysHe he he team popo mkalale
Upweke mno.....! Naona mliokuwa pilo talk ndio mnarudNaona team "washika mito" wakifarijiana teh teh! Lakini jamani kubembelezwa na mto ni bonge la upweke hasa kwa masiniya bachela. Mpwa wangu KikulachoChako sijui anaweza vipi.
Haaha ilikua utanii mamy i ddn't mean thatKwahiyo ndio unataka kuunganisha udungu kitandani??
Ha ha ha huwa zinaivasizitaki mbivu hizi
Kweli kabisaa....mnafaidi mnoTeh teh.. sumbai kumbe bado unachezea mito usiku?
Tofautisha hizo kiongozi.
View attachment 410111View attachment 410113
Yuko mmoja, bado nafasi tatu...nakutamania
Ukizingatia leo wikend, sim ndo tunaziwasha mida hiiUpweke mno.....! Naona mliokuwa pilo talk ndio mnarud
Hahahahaha...Ukizingatia leo wikend, sim ndo tunaziwasha mida hii
Pillow talk itafanyika saa ngapi,kidume akitoka kazini baada ya chakula cha usiku anakaa sebuleni kuanza kuangalia movies hadi saa saba usiku,mke nae unamkuta bize anachati kwenye magroup ya whatsapp.....Naona kuna umuhimu mkubwa wa kutoa darasa kwa wadogo zetu hapa jamvini wa kike na wa kiume kwa pamoja, kwamba nini dhima ya ndoa! Nini maana ya mapenzi, privacy tuo na mipaka
Nini maana ya kuwa mwili mmoja! Nini maana ya bedroom kuitwa sehemu ya faragha, kwamba kwa jinsi unavyojisitiri na nguo hata bedroom yako iwe na limitations ya watu wanaoingia humo
Kuna mengi Tunahitaji kuyaongea kwa uwazi lakini kwa hekima na busara na heshima
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yameharibu vingiPillow talk itafanyika saa ngapi,kidume akitoka kazini baada ya chakula cha usiku anakaa sebuleni kuanza kuangalia movies hadi saa saba usiku,mke nae unamkuta bize anachati kwenye magroup ya whatsapp.....
-wakikutana kitandani wanaanza kuchimbana mikwara.....
hamna aisee kwangu hata ije sayansi gan haiwez harb moment kama hii na habibty wangu,,kale ka joto cha kifuani kutomaswa tomaswa kiuno na maneno matamu haviwez kuwa replaced aiseeMaendeleo ya sayansi na teknolojia yameharibu vingi
Una baht wewe wengi hivyo vitu wanaviskia kama story za kufikirikahamna aisee kwangu hata ije sayansi gan haiwez harb moment kama hii na habibty wangu,,kale ka joto cha kifuani kutomaswa tomaswa kiuno na maneno matamu haviwez kuwa replaced aisee
Ádimu saana.....hamna aisee kwangu hata ije sayansi gan haiwez harb moment kama hii na habibty wangu,,kale ka joto cha kifuani kutomaswa tomaswa kiuno na maneno matamu haviwez kuwa replaced aisee
there is always a time for everythngUna baht wewe wengi hivyo vitu wanaviskia kama story za kufikirika