Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

TUF 125 TOLEO JIPYA, INA STARTER NA KICK STARTER
tuf 4.jpg

tuf 3.jpg

tuf 1.jpg
 
sisi ni wakala wa piki piki za Honda tu. Kama unahitaji piki piki ya fekon nenda kampuni ya fekon ofisi zao zipo kariakoo ,kituo cha bakhressa. Piki piki za sunlg wanasambaza kishen enterprises ofisi zao zipo buguruni mwananchi au nenda kwa mawakala wao wapo wengi kariakoo na mnazimmoja.
Wewe kweli ni mfanyabiashara. Angekuwa mwingine hapo yangekuwa matusi tu
 
Saws mkuu hizi za kawaida zinauwezo was kutembea km ngapi bila kupumzika?
kwa mimi navyojua, Honda 125 cc zina uwezo wa kwenda km 170, 200 mpaka km 250 bila kupumzika. kuna mdau mmoja aliniambia ameweza kuendesha Honda km 360 bila kupumzika, siwezi kumpinga kwasababu Honda ni pikipiki bora na ina engine imara sana kwahiyo unaweza ku overide kms bila kupumzika. lakini ni vyema ufuate kanuni za uendeshaji na usioveride zaidi ya kiwango kwa maana utaunguza kila kitu kwenye engine. safety precautions ni muhimu.
 
MKUU NI HONDA AINA GANI HII NA BEI YAKE?
HONDA XL 125 LEK. ELECTRIC STARTER. BEI MILLION 7. WARRANTY YA MATENGENEZO MIAKA MIWILI BURE. USAJILI TUNAKUFANYIA BURE. UNAPATA NA HELMET MOJA YA KISASA BURE. KARIBU OFISINI MSASANI.
 
Tuna stock mpya ya Honda Ace CB 125 zimerudi. Bei ni Mil 2.8 pamoja na usajili na warranty ya mwaka mzima. Tazama picha yake hapa. kwa wale wadau waliokuwa wanazitafuta, waje showroom yetu ya Msasani au piga simu 0717-518359.
ndo zina lim ya spoke??
 
Back
Top Bottom