Pikipiki za honda zinauzwa

Pikipiki za honda zinauzwa

HONDA TUF 125 PIKI PIKI ZA SHAMBA 3,500,000 tu.
IMG_20160702_122419.jpg
 
zinaweza fanya biashara kama boda boda?
 
Hizi pikipiki zenu ni Made in Japan or India under licence?
 
Hizi pikipiki zenu ni Made in Japan or India under licence?
Asante kwa swali zuri, kampuni yetu ya Quality Motors ltd ni Agent wa Honda Tanzania, tunasimamiwa na kampuni ya Honda ya South Africa. Kampuni ya Honda South Africa ndio wanaosupply piki piki za Honda kwa Tanzania na nchi nyingine za Afrika.
 
Asante kwa kunijibu. Kwahiyo zinatengenezwa South Africa, Japan, or India? au ni nchi gani
 
Hivi boxer bm 150 ina spidi ngapi maximum?
Speed kwenye dash board ni 140 ila haiwezi kufika huko, pengine kwenye mteremko mkali. Top speed yake ambayo mtengenezaji amesema ikimbie ni 95 km/hr, ila unakuta mtu anaikamua hadi inafika 120,, matokeo yake ndo kuanza kubadilisha spares mapema coz engine inazidishwa uwezo wake. Soma manual yake utaona, au google boxer bm 150 utaona ninachokuambia.
Huyo anaesema inakimbia 160 ni muongo, hata xlr250 haifiki huko, top speed ni 140.
 
Asante kwa kunijibu. Kwahiyo zinatengenezwa South Africa, Japan, or India? au ni nchi gani
South Africa.
Tambua kwamba kuna nchi 21 duniani zina viwanda zinazotengeneza piki piki za Honda. na hizi viwanda vyote vinasimamiwa na wajapani wa Honda.
 
Kwa mtu aliyeko mkoani anawezaje kufanya biashara na nyie, mfano mimi nipo Kigoma mtaweza nitumia? Maana kununua pikipiki hapo mpaka hujue pa kupeleka ili isafirishwe unaweza ata kuibiwa hivi hivi na wahuni
 
Tuna wateja wengi huko mkoani tunawasafirishia piki piki na wanapata piki piki zao bila usumbufu wowote. kwahiyo usiwe na shaka na kampuni yetu kwasababu tunafahamika kwa wadau wengi na ofisi zetu zinafahamika.
Kama njia ya kuagiza piki piki kutoka dar sio salama kwako, basi nakupa njia nyingine, tuna tawi letu hapo hapo kigoma mjini nakupa namba za simu ya jamaa wetu hapo kigoma anaitwa mujuberi, 0717601988. mnaweza kufanya naye biashara.
 
Shukrani mkuu ila hawa jamaa huku wana bei kubwa sana
 
Shukrani mkuu ila hawa jamaa huku wana bei kubwa sana
lazima bei iwe tofauti na dar kwasababu gharama ya usafiri ndio zinafanya bei iongezeke kwa huko mikoani.
kama unahitaji piki piki ya Honda kwa bei nzuri nitafute 0717518359 au 0689866100.
 
Dawa za mitishamba za kutibu matatizo na mapungufu ya nguvu za kiume sh 20000..nitafute 0744069527
 
Back
Top Bottom