Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Bahati mbaya uliyonayo ni kudhani matusi na maneno ya shombo ni mbadala wa kujibu hoja na kutetea unachokiamini

Na hii ndio bahati mbaya kubwa iliyokikumba chadema. Vijana wengi wamejielekeza kwenye matusi na maneno ya shombo kushabikia upuuzi. Wenye akili wamekaa wametulia hawataki kujihusisha na upuuzi

Nilidhani najibishana na mtu kumbe nili overlook! Samahani sana, Mimi sio wa mijadala ya aina hiyo

Unachokifanya hapa ni kujaribu kukwepa ngumi kwa kufumba macho
Ndio asilimia kubwa wa vijana wa chadema hawaendi hoja kwa hoja wao ni matusi na kejeli ndio hoja zao na wanataka chochote wanachosema wao usipinge unakuwa tayari adui na hii yote wanaiga viongozi wao
 
Bahati mbaya uliyonayo ni kudhani matusi na maneno ya shombo ni mbadala wa kujibu hoja na kutetea unachokiamini
Nimekuonesha true feeling niliyonayo about your mtu....

Siwezi sugar coat anything....

Mtu wako ni kilaza na ipo wazi,kila mtu leo kamuona....

Kaonesha uwezo wake ulivyo duni...Sio statesman,ni hovyo!
Na hii ndio bahati mbaya kubwa iliyokikumba chadema. Vijana wengi wamejielekeza kwenye matusi na maneno ya shombo kushabikia upuuzi. Wenye akili wamekaa wametulia hawataki kujihusisha na upuuzi
Hawataki kufata ukisemacho...convince them kama unaweza,huwezi....

Your hoja hazi-command following,ndio maana nobody listens what you say maana hazina maana kwao.
Nilidhani najibishana na mtu kumbe nili overlook! Samahani sana, Mimi sio wa mijadala ya aina hiyo
Thats not my fault...

Its your own fault kudiscuss na mtu unaedhani sio mtu,we cant help you with this.

Kosa ni lako kupoteza muda wako na mtu useless kwako...we are sorry,jilaumu mwenyewe!
Unachokifanya hapa ni kujaribu kukwepa ngumi kwa kufumba macho
Says who?Wewe?

Kama nani hasa?

And you think I give flying fvck your judgement on me?

Brother,keep your political philosophies to your people like Muro the dunderhead!
 
Wewe ni aina ya kina mdude tu! Humfahamu mtu unayemsema

Muro aligombea udiwani kwasababu ya UKAWA! Tangu yuko CCM hakuwahi kuwaza kugombea udiwani

Alikuwa ni candidate sahihi wa kinondoni mwaka 2015 lakini CUF wakalalamika ndio ikabidi aachiwe Mtulia

Na kama hujui miaka yote akiwa CCM alikuwa anahujumiwa kwenye kura za maoni kupitishwa kuwa mgombea wa kinondoni

Aligombea udiwani kama sehemu ya kumpoza baada ya kukubali kumuachia Mtulia ubunge na kuendelea kubaki kwenye siasa na mahesabu yalikuwa aje kuwa meya wa kinondoni

Lakini kwa usaliti uleule wa viongozi aliousema wakamsaliti wakampa Boniface (my class mate) na kwasababu alikuwa mgeni kwenye chama na aliuamini uwezo wa Boniface, alikubali na akamsapoti

Ubungo na Kinandoni vilipogawanywa, akagombea umeya wa kinondoni lakini chama hakikumpa sapoti stahiki hadi CCM wakaweza kuiba kura (usaliti wa viongozi) na hata mahakamani walienda kutimiza wajibu tu

Kwa kifupi, Chadema ni chama kilichopendwa na chenye mvuto wa aina yake kwa vijana. Lakini wanachadema ndio watakayoiua chadema

Kuna watu ndani ya chadema wanahisi wao ndio chadema na chadema ni wao hivyo hawako tayari kuona mwingine anakua zaidi yao

Kazi aliyoifanya Mbowe ya kuwakuza kisiasa kina Mnyika, Zitto, Boniface na wengine siku hizi hata haipo tena

Kila anayetaka kuibuka wanampiga kwenzi abaki chini ili wao wabaki juu na kushangiliwa kila siku

Kifupi baadhi ya waliokuzwa na Mbowe hawahangaiki kuibua vipaji badala yake wanahangaika kutafuta mashabiki wa kuwapigia makofi na kutukana wanaowakosoa. Wanaogopa kuibua vipaji kwasababu wanaogopa kupewa challenge. Kutwa kucha wanahangaika kutengeneza mashabaki mwisho wa siku chama kitakosa wajenga hoja na yatakuwa yale yale ya ndioooo ambayo tunayaona CCM

Akisema Mbowe itakuwa ndioooo, akisema Mdee, Ndioooo, akisema Lema, Ndioooo, akisema Bulaya Ndioooo....akija wa kuhoji kilichosemwa mashabiki wazomee! Hii sio siasa! Huu ni ufuasi

Lazima kama Baba, Mbowe akae chini ajiulize na abuni mbinu mpya ya kuendeleza chama

Muro hajawahi na hatawahi kuwa na njaa ya pesa Kama unavyodhani labda afilisiwe!

Ni bahati mbaya kudhani kila anayeingia kwenye siasa anatafuta hela

Ungesema anapoteza muda na hela bure kwenye siasa ningekuelewa
CCM hawajawahi kumkubali muro
Mzee Wa infosys na Kuna mengi naona hujui
Khsu hyu acha tumezeee

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha madai yako.
1) Mara baada ya kutoka ikulu kuonana na Magufuli, ambapo Magufuli alimwalika , Mbatia alifanya ziara Mbeya, ambapo alipokewa na Mkuu wa Mkoa Mbeya. Mpinzani kabisaaa, apokewe na mkuu wa mkoa ? Huyo siyo mpinzani, bali mjumbe wa rais Magufuli.
2) Magufuli mwenyewe amemsifia Mbatia kwamba anamwandikia barua nyingi za " kumtiamoyo". Siyo kazi ya mpinzani kumtia moyo rais. Kwa mujibu wa katiba, wana jukumu la kutoa njia mbadala, kukosoa na kuwania kuingia madarakani. Angalau ACT na CHADEMA wametekeleza hayo. Hao ndio wapinzani wa ukweli
 
Hawa madogo hawamjui muro vzr
Mzee Wa infosys

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwahiyo vyama vya siasa imekuwa vigoda vya majungu,Mwandishi kero ya nchi hii sio CHADEMA kero ni malengo timilifu ya ya raia wa nchi hii,Hata chadema ikfa leo maisha yataendelea na yeyote atakae ongoza hatakuletea sembe na mchele,mazingira ya nchi sii rafiki kwa aina hii ya siasa
 
1) Mara baada ya kutoka ikulu kuonana na Magufuli, ambapo Magufuli alimwalika , Mbatia alifanya ziara Mbeya, ambapo alipokewa na Mkuu wa Mkoa Mbeya. Mpinzani kabisaaa, apokewe na mkuu wa mkoa ? Huyo siyo mpinzani, bali mjumbe wa rais Magufuli.
2) Magufuli mwenyewe amemsifia Mbatia kwamba anamwandikia barua nyingi za " kumtiamoyo". Siyo kazi ya mpinzani kumtia moyo rais. Kwa mujibu wa katiba, wana jukumu la kutoa njia mbadala, kukosoa na kuwania kuingia madarakani. Angalau ACT na CHADEMA wametekeleza hayo. Hao ndio wapinzani wa ukweli
Huu ni uthibitisho uchwara.
 
Nilitaka nigonge like 10 zimegoma
Mtahenyeka sana washamba ninyi wa madaraka wa awamu ya hovyo. Mbowe sio Chadema na Chadema sio Mbowe. Mlichukua Slaa mkasema imekufa cha ajabu mpka Leo mnaweweseka tuu na Chadema kula hamli kulala hamlali na hata kunya hamuwezi.
 
Mtu mgeni akija Tz anaweza sema Mbowe ndo Rais wa Tanzania maana CCM wanamtaja Sana kuliko kiongozi wao, Ni wazi mwenye akili timamu, mzalendo wa nchi Hii hawezi amini utumbo na upuuzi unaoenezwa na CCM dhidi ya Mbowe na chadema Yao,

Tz tuna matatizo mengi Sana CCM acheni upuuzi wenu kutumia rasilimali zetu kuwaumiza wapinzani wenu tatueni shida za wananchi
 
Mimi naamini bila upinzani hata hapa tusingefika. Iwapo upinzani ulikuwepo toka enzi za uumbaji mpaka leo basi tuwaombee wapinani wa kweli waishi ili kufikia malengo, japo usiwe wa kudidimiza maendeleo
 
Back
Top Bottom