Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Ni kawaida kusikia njaa mida ya saa 6 kuelekea saa7, usitarajie mtu akwambie ananjaa saa 1 asubuhi labda mgojwa wa sukari.
 
Aonywae mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafra.
Mbowe tulimuonya sana tukaambiwa buku7. Nabado haya ni mussa bado ya firauni.
 
Msigwa yupo njiani!
Myika yupo njiani!
Sugu yy tayari anasubiri mda
J.haule yy tayari anasubiri mda
A.kiwanga tayari nae anasubiri mda
U.peneza yupo tayari anangoja mda.

Mboe na madem zake wawili E.bulahya na H. Mdeee ndio watakao baki kumalizia rudhuku nakufungua kampuni zao.
 
Hayo ni madini fake mkuu, kwa sisi tuliokulia machimboni tunayaita kakumba...mke wa muro hakuwahi kukamatwa kwenye hiyo inshu ya wale watu wa IT 41...analeta story za kinafki tu...acha kbs huo uzushi
Hujui unachosema
 
Msigwa yupo njiani!
Myika yupo njiani!
Sugu yy tayari anasubiri mda
J.haule yy tayari anasubiri mda
A.kiwanga tayari nae anasubiri mda
U.peneza yupo tayari anangoja mda.

Mboe na madem zake wawili E.bulahya na H. Mdeee ndio watakao baki kumalizia rudhuku nakufungua kampuni zao.
Acha mkuu..c hata ww umpe hyo k yko kwn shida iko wp?
 
Wanapotaka kumuangusha,, wanamkuta ameshalala chini..
 
Back
Top Bottom