Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Yaan ccm mnapoteza nguvu kubwa sana kuikandamiza chadema. kama shida yenu ni uraisi mbinu mnazonyingi za kufanya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi. Mmeshafanya sana huko nyuma hatakufuta uchaguzi mlifuta(zanzibar). Mimi sioni sababu yakupambana na CDM namna hiyo sababu vyama vingine vinaweza kuibuka na vikawapeleka mpwito mpwito.

By the way, tumemiss sana siasa zilizochangamka hizi siasa za kizee tumechoka. Bunge la mwaka 2005- 15 lilikuwa linaamsha amsha huchoki kulitazama kama bunge la south Africa. Uchaguzi wa 2015 ndo usiseme mafuriko kila upande yaan full shangwe. Uchaguzi mwaka huu sijui ndo utakuwa wa uoga na hofu kama uchaguzi wa serikali za mtaa.
Waaaii tumechoka kuwa kama vizee 😿😕😕
 
Uliye andika andiko hili mungu .akubariki sana watanzania nani katuroga
Halafu wewe Magonjwa mtambuka mbona una ujinga sana kichwani? Hivi isingekuwa upinzani hii jitihada ya serikali angalau kuwajibika kwa wananchi ingekuwepo? Mnaoombea upinzani ufutike nadhani kichwani mwenu mmejaza makamasi tu. Bila upinzani hata hii hapa kazi tu isingekuwepo.
 
Who is the f****** mbowe? He is just a little rat eating Sacco's cheese!!
Kama hana lolote,kwanini the whole administration plus using government apparatus is lining up to fight him?

Kama hana lolote mngekua mpo vijijini huko mnafungua na kusimamia miradi kutimiza ilani yenu,lakini wote mpo Dar na Dodoma vikao usiku na mchana kupambana na Mbowe!

This shows Mbowe is Michael Jordan of this shit,no one among yourselves can play chess with him!

Y'all are just dummies to him!
 
Noo new hata watoke woootr watuachie chama.

Upinzaniwa kweli upo mioyoni mwetu. Hamtakaaa mfanikiwe kuutoa ndani yetu punda nyie
 
Wewe ni aina ya kina mdude tu! Humfahamu mtu unayemsema
Nimfahamu nimpeleke wapi to begin with?

He is nobody,hana hela hana akili,he is useless just like me!

Muro aligombea udiwani kwasababu ya UKAWA! Tangu yuko CCM hakuwahi kuwaza kugombea udiwani
Aligombea Udiwani sababu ana IQ ndogo hana clout ya kugombea Ubunge,full stop!

Mengine sijui aliamua and blah blah ni nonsense tupu!
Alikuwa ni candidate sahihi wa kinondoni mwaka 2015 lakini CUF wakalalamika ndio ikabidi aachiwe Mtulia
Aliachwa sababu hana akili wala hana mtaji kisiasa zaidi ya Mtulia.

Eti "walilia" awaachia,peleka sababu ya kitoto huko!

Iliangaliwa yeye na Mtulia,Mtulia kamzido vitu vingi ndio maana kaachwa hana lolote compared to him!

Lakini kwa usaliti uleule wa viongozi aliousema wakamsaliti wakampa Boniface (my class mate) na kwasababu alikuwa mgeni kwenye chama na aliuamini uwezo wa Boniface, alikubali na akamsapoti
Boniface ana power zaidi ya hiyo takataka mara elfu moja,not even close!

Futa hiyo mbuzi irudi kwenye mediocre leagues,he has nothing,IQ wala lolote...saw him talking garbages tupu!
Kuna watu ndani ya chadema wanahisi wao ndio chadema na chadema ni wao hivyo hawako tayari kuona mwingine anakua zaidi yao
Chadema kuna meritocracy,huna akili za kutosha hupati lolote,mimi nimekuja leo nina akili nyingi na uwezo mkubwa zaidi yako wewe mbumbumbu napanda zaidi yako,unalialia nenda huko CCM....

Mtu wako ni kilaza,deal with it...
Ubungo na Kinandoni vilipogawanywa, akagombea umeya wa kinondoni lakini chama hakikumpa sapoti stahiki hadi CCM wakaweza kuiba kura (usaliti wa viongozi) na hata mahakamani walienda kutimiza wajibu tu
Aende anakoenda,who cares about him?

Hana akili,IQ yake ya siasa ni ndogo,nimemuona akiongea makande matupu...
Kifupi baadhi ya waliokuzwa na Mbowe hawahangaiki kuibua vipaji badala yake wanahangaika kutafuta mashabiki wa kuwapigia makofi na kutukana wanaowakosoa. Wanaogopa kuibua vipaji kwasababu wanaogopa kupewa challenge. Kutwa kucha wanahangaika kutengeneza mashabaki mwisho wa siku chama kitakosa wajenga hoja na yatakuwa yale yale ya ndioooo ambayo tunayaona CCM
Huna akili ya kumfundisha Mbowe chochote!

Ungekua na akili sana zaidi ya Mbowe ungekua na Chama Cha Siasa chenye power zaidi ya CDM,huna lolote umekaa kibarazani kama mimi tunapoteza muda tu!

Keep huo ushauri for yourself and your fellow dummies who have nothing...Mbowe has done something,you cant take that away from him!

Thats why the whole administration is fearing him!

Muro who?
 
Mtabaki kujifaragua hivyo hivyo wakati lichama linazidi kuporomoka.
Haka kautaratibu ka watu kuunga mkono juhudi kalipamba moto mda ule chaguzi zinafanyika, kakasimama. Sasa karibu na uchaguzi 2020 kameibuka tena, na sasa hivi "chumba cha wageni", kwa lugha ya kibeberu "guest house", ni NCCR. Tayari Mbatia kaingia "biashara" na Magufuli, kama zile biashara na Lyatonga wa TLP.

Ila enzi hizi za Magufuli tunashuhudia siasa za kishamba kuwahi kutokea. Zamani angalau kulikuwa na kaustaarabu fulani hivi ka kiushikaji. Siku hizi za rushwa za waziwazi, halafu eti ni serekali "inayopambana na rushwa"!! Hata aibu? Ila nawajua wanaccm orijino ambao wanaona aibu hii.
 
Kama hana lolote,kwanini the whole administration plus using government apparatus is lining up to fight him?

Kama hana lolote mngekua mpo vijijini huko mnafungua na kusimamia miradi kutimiza ilani yenu,lakini wote mpo Dar na Dodoma vikao usiku na mchana kupambana na Mbowe!

This shows Mbowe is Michael Jordan of this shit,no one among yourselves can play chess with him!

Y'all are just dummies to him!
Unajua kum fight mtu au unakariri kwa lipi? Aache kujaribu kupimana abavu na dola hakuanza yeye huu uhanithi mrema lipumba maalim waliufanya na walishindwa nae dj anashindwa Kama waliotangulia
 
Kama hana lolote,kwanini the whole administration plus using government apparatus is lining up to fight him?

Kama hana lolote mngekua mpo vijijini huko mnafungua na kusimamia miradi kutimiza ilani yenu,lakini wote mpo Dar na Dodoma vikao usiku na mchana kupambana na Mbowe!

This shows Mbowe is Michael Jordan of this shit,no one among yourselves can play chess with him!

Y'all are just dummies to him!
Michael Jordan my ass? Maybe we can call him lover boy
 
Nimfahamu nimpeleke wapi to begin with?

He is nobody,hana hela hana akili,he is useless just like me!

Aligombea Udiwani sababu ana IQ ndogo hana clout ya kugombea Ubunge,full stop!

Mengine sijui aliamua and blah blah ni nonsense tupu!

Aliachwa sababu hana akili wala hana mtaji kisiasa zaidi ya Mtulia.

Eti "walilia" awaachia,peleka sababu ya kitoto huko!

Iliangaliwa yeye na Mtulia,Mtulia kamzido vitu vingi ndio maana kaachwa hana lolote compared to him!

Boniface ana power zaidi ya hiyo takataka mara elfu moja,not even close!

Futa hiyo mbuzi irudi kwenye mediocre leagues,he has nothing,IQ wala lolote...saw him talking garbages tupu!

Chadema kuna meritocracy,huna akili za kutosha hupati lolote,mimi nimekuja leo nina akili nyingi na uwezo mkubwa zaidi yako wewe mbumbumbu napanda zaidi yako,unalialia nenda huko CCM....

Mtu wako ni kilaza,deal with it...

Aende anakoenda,who cares about him?

Hana akili,IQ yake ya siasa ni ndogo,nimemuona akiongea makande matupu...

Huna akili ya kumfundisha Mbowe chochote!

Ungekua na akili sana zaidi ya Mbowe ungekua na Chama Cha Siasa chenye power zaidi ya CDM,huna lolote umekaa kibarazani kama mimi tunapoteza muda tu!

Keep huo ushauri for yourself and your fellow dummies who have nothing...Mbowe has done something,you cant take that away from him!

Thats why the whole administration is fearing him!

Muro who?
Bahati mbaya uliyonayo ni kudhani matusi na maneno ya shombo ni mbadala wa kujibu hoja na kutetea unachokiamini

Na hii ndio bahati mbaya kubwa iliyokikumba chadema. Vijana wengi wamejielekeza kwenye matusi na maneno ya shombo kushabikia upuuzi. Wenye akili wamekaa wametulia hawataki kujihusisha na upuuzi

Nilidhani najibishana na mtu kumbe nili overlook!

Unachokifanya hapa ni kujaribu kukwepa ngumi kwa kufumba macho
 
Back
Top Bottom