Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

Naona kawahi mzigo Wa nccr zile 800 ml...kinachoshangaza kila anayetoka lazima amwage lawama kwa mbowe
 
Hajulikani huyo Ni Sawa na Mavi Kutoka tumboni na kudondoke chooni
 
Matumbo njaa wanahama vyama as if ni issue yetu sisi..

We got nothing to do with you sissies!

Sijui Mbowe even know the name of this lunatic?
Muro si mtu wa njaa njaa kama unavyojaribu kufikiri. Ni aina ya watu wanaoridhika na walichonacho na aina ya watu wanaotafuta "self esteem" wala sio ulaji.
 
Naona kawahi mzigo Wa nccr zile 800 ml...kinachoshangaza kila anayetoka lazima amwage lawama kwa mbowe
Mbowe ni Mwenyekiti lawama zote lazima ziende kwake. Hana namna ndio nature ilivyo

Kwenye familia wakitokea vibaka na malaya analaumiwa mzazi kwa kutowalea watoto wake vizuri hata kama tabia hizo walijifunza ukubwani

Waswahili walisema ukubwa jalala
 
Tatizo ni pale Kodi yako na ya mama yako inapotumika kununulia madiwani wewe punga 1 unafurahia huku JF

Taifa la
Muro si mtu wa kununuliwa, pitia hoja zake utamuelewa na kama humfahamu jitahidi umfahamu
 
Muro si mtu wa njaa njaa kama unavyojaribu kufikiri. Ni aina ya watu wanaoridhika na walichonacho na aina ya watu wanaotafuta "self esteem" wala sio ulaji.
Ana njaa ya pesa

Ana njaa ya siasa za bure

Ana njaa ya mteremko

Ana njaa ya kujulikana

Asingekua na njaa asingeenda kwenye siasa to begin with....Asingekua na njaa asingegombea "Udiwani" angegombea minimum "Ubunge".

Ana njaa ya kila kitu,masikini wa mawazo,itikadi,kipesa na kiakili,kifikra na kila kitu..

Kusimama hapa na kusema hana njaa,unadanganya watu wazima,asingekua na njaa asingefanya sarakasi za kipumbavu hivi!

Mbowe do not know him,he was too much of a small player like sisimizi to be known na mtu mkubwa kama Mbowe!

Diwani,who the fvck is Diwani?

Kulikua na Dr Slaa,sio hiyo njaa hadi matakoni...hana lolote...mwanaume kama binti!
 
Who is the f****** mbowe? He is just a little rat eating Sacco's cheese!!
 
Yani wewe mleta uzi unazo element zote za uchawi na isitoshe hata familia unayotokea ni ya kifukara sana na ndo maana unafurahia anguko la mwenzio nakuwa na mawazo ya kupumbavu. Diwani wenyewe huyo hawezi hata kujieleza sijui hata kwa nini wananchi walimchagua!
 
Ana njaa ya pesa

Ana njaa ya siasa za bure

Ana njaa ya mteremko

Ana njaa ya kujulikana

Asingekua na njaa asingeenda kwenye siasa to begin with....Asingekua na njaa asingegombea "Udiwani" angegombea minimum "Ubunge".

Ana njaa ya kila kitu,masikini wa mawazo,itikadi,kipesa na kiakili,kifikra na kila kitu..

Kusimama hapa na kusema hana njaa,unadanganya watu wazima,asingekua na njaa asingefanya sarakasi za kipumbavu hivi!

Mbowe do not know him,he was too much of a small player like sisimizi to be known na mtu mkubwa kama Mbowe!

Diwani,who the fvck is Diwani?

Kulikua na Dr Slaa,sio hiyo njaa hadi matakoni...hana lolote...mwanaume kama binti!
Wewe ni aina ya kina mdude tu! Humfahamu mtu unayemsema

Muro aligombea udiwani kwasababu ya UKAWA! Tangu yuko CCM hakuwahi kuwaza kugombea udiwani

Alikuwa ni candidate sahihi wa kinondoni mwaka 2015 lakini CUF wakalalamika ndio ikabidi aachiwe Mtulia

Na kama hujui miaka yote akiwa CCM alikuwa anahujumiwa kwenye kura za maoni kupitishwa kuwa mgombea wa kinondoni

Aligombea udiwani kama sehemu ya kumpoza baada ya kukubali kumuachia Mtulia ubunge na kuendelea kubaki kwenye siasa na mahesabu yalikuwa aje kuwa meya wa kinondoni

Lakini kwa usaliti uleule wa viongozi aliousema wakamsaliti wakampa Boniface (my class mate) na kwasababu alikuwa mgeni kwenye chama na aliuamini uwezo wa Boniface, alikubali na akamsapoti

Ubungo na Kinandoni vilipogawanywa, akagombea umeya wa kinondoni lakini chama hakikumpa sapoti stahiki hadi CCM wakaweza kuiba kura (usaliti wa viongozi) na hata mahakamani walienda kutimiza wajibu tu

Kwa kifupi, Chadema ni chama kilichopendwa na chenye mvuto wa aina yake kwa vijana. Lakini wanachadema ndio watakayoiua chadema

Kuna watu ndani ya chadema wanahisi wao ndio chadema na chadema ni wao hivyo hawako tayari kuona mwingine anakua zaidi yao

Kazi aliyoifanya Mbowe ya kuwakuza kisiasa kina Mnyika, Zitto, Boniface na wengine siku hizi hata haipo tena

Kila anayetaka kuibuka wanampiga kwenzi abaki chini ili wao wabaki juu na kushangiliwa kila siku

Kifupi baadhi ya waliokuzwa na Mbowe hawahangaiki kuibua vipaji badala yake wanahangaika kutafuta mashabiki wa kuwapigia makofi na kutukana wanaowakosoa. Wanaogopa kuibua vipaji kwasababu wanaogopa kupewa challenge. Kutwa kucha wanahangaika kutengeneza mashabaki mwisho wa siku chama kitakosa wajenga hoja na yatakuwa yale yale ya ndioooo ambayo tunayaona CCM

Akisema Mbowe itakuwa ndioooo, akisema Mdee, Ndioooo, akisema Lema, Ndioooo, akisema Bulaya Ndioooo....akija wa kuhoji kilichosemwa mashabiki wazomee! Hii sio siasa! Huu ni ufuasi

Lazima kama Baba, Mbowe akae chini ajiulize na abuni mbinu mpya ya kuendeleza chama

Muro hajawahi na hatawahi kuwa na njaa ya pesa Kama unavyodhani labda afilisiwe!

Ni bahati mbaya kudhani kila anayeingia kwenye siasa anatafuta hela

Ungesema anapoteza muda na hela bure kwenye siasa ningekuelewa
 
Wachumia tumbo tu hao.

Hivi 2025 baada ya Jiwe kuondoka hawa jamaa watakimbilia wapi? Typical Africans, we do not think and see beyond ......!!
 
Yani wewe mleta uzi unazo element zote za uchawi na isitoshe hata familia unayotokea ni ya kifukara sana na ndo maana unafurahia anguko la mwenzio nakuwa na mawazo ya kupumbavu. Diwani wenyewe huyo hawezi hata kujieleza sijui hata kwa nini wananchi walimchagua!
Umesikiliza hoja zake na ukaona hawezi kujieleza? Ni sehemu gani haijaeleweka. Itaje

Kwa mleta mada unaweza kuwa sawa kwamba si vizuri kufurahia anguko la mwenzako hasa chadema, lakini kuhusu kujieleza sioni sehemu ambayo haijaeleweka labda kama kigugumizi ndio tafsri ya kushindwa kujieleza kwako
 
Wachumia tumbo tu hao.

Hivi 2025 baada ya Jiwe kuondoka hawa jamaa watakimbilia wapi? Typical Africans, we do not think and see beyond ......!!
Nakukatalia, Muro si mchumia tumbo. Jipe homework ya kumfahamu kabla hujasema
 
Back
Top Bottom