rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
- Thread starter
- #101
kwanini si Man U na Chelsea
we nigee moja huko
kuliposhonwa nitaweka
viraka vya simba na yanga!!
kwanini si Man U na Chelsea
we nigee moja huko
kuliposhonwa nitaweka
viraka vya simba na yanga!!
we nigee moja huko
kuliposhonwa nitaweka
viraka vya simba na yanga!!
imetoboka kila mahali na kila mahali kuna kiraka.....naipenda mana vilaka imeifanya pichu yangu kuwa unique......
ikitokea umeanguka ghafla itakuwaje?
Shaka ondoa Passion Lady,Ni PM niambie uko wapi nitakuletea.
kuna a contractual obligation nataka kuingia in between I rafiki na Lady ze doctor, ya ukodishaji wa pichu soksi kwa weekend moja, nakuomba uwe shahidi wangu, sherehe ya makabidhiano itafanyika, JF Chit Chat Hotel, baada ya tukio la kusaini mkataba wa makabidhiano, bendi maarufu ya Chit Chat Jazz band itatumbuiza wakiwemo wasanii maarufu wa JF chit Chat, uje na umpendae, fika bila kukosa...
ulioonea wapi sasa?
usijekua uliiona ndotoni tu
Lady doctor njoo uchukue pichu yako. Uliisahau siku ile ya mtanange.
Ninayo moja tu. Nafua usiku, Asubuhi inavaliwa.
Ni lazima ichakae ndipo ninunue nyingine.
NB:
Tofautisha kuchakaa na kutoboka.
Naheshimu mawazo ya mtu.
Nimeshafika hapa.
Tatizo lenu vijana matozi mno, mie niliona taabu kununua nunua viboxer nikaamua kushona za batiki, zile kiboko, ninazo tatu tu mwaka wa nne sasa hata dalili za kuchakaa hamna, shahidi angu Madame B , afu uzuri wa chupi za kushona unai design mwenyewe inakuwa "user friendly" kwa mfano mie za kwangu zina zip, luksi, mkanda, mifuko ya nyuma e.t.c kuweni wabunifu..

naomba niikute hapo chumbani kwako
hiyo sio chupi sasa, hiyo tunaita bukta