rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Jee unavaa pichu yako mpaka itoboke??
How regularly do you change them...
Unazo ngapi??
How regularly do you change them...
Unazo ngapi??
Jibu kwanza wewe!!!
Alafu utuambie maana ya pichu.
hongera mkuu naona unazingatia bajetNinayo moja tu. Nafua usiku, Asubuhi inavaliwa.
Ni lazima ichakae ndipo ninunue nyingine.
NB:
Tofautisha kuchakaa na kutoboka.
soma kinyume nyume, we unazo ngapi
mi nimewauliza ili mnijibu , asa mbona mnaniuliza tena, au hamna kabisa??Jibu kwanza wewe.
mwaka wa ngapi huu, imetoboka wapi, na ina viraka vingapi?? utakua unaipenda sana..ikitoboka naipeleka kwa fundi aiweke kilaka.....
ee asee, we unayo au hauna kabisaMmmh!pichu tena!!!
imetoboka kila mahali na kila mahali kuna kiraka.....naipenda mana vilaka imeifanya pichu yangu kuwa unique......mwaka wa ngapi huu, imetoboka wapi, na ina viraka vingapi?? utakua unaipenda sana..
unique sisters auimetoboka kila mahali na kila mahali kuna kiraka.....naipenda mana vilaka imeifanya pichu yangu kuwa unique......
umepatiaaaa.........unique sisters au
Ninayo moja tu. Nafua usiku, Asubuhi inavaliwa.
Ni lazima ichakae ndipo ninunue nyingine.
NB:
Tofautisha kuchakaa na kutoboka.
imetoboka kila mahali na kila mahali kuna kiraka.....naipenda mana vilaka imeifanya pichu yangu kuwa unique......
Lady doctor. Hapo upare umehusika vipi?!!
ubahili! Eti mnatonga na bajeti...... Thelaa!!!!