Pichu yako imetoboka??

Pichu yako imetoboka??

Unakodisha in terms of euros, madafu coins , Mugabe pesa, omama's greens au kwa mbesa enga?? tunahitaji wakili na mashahidi ngoja ni mwite Mzee aje kua shahidi wangu siku ya mabidhiano..

heeeh! We mwana wee...... Chupi soksi nayo yaitaji mashahidi Mzee hebu ukuje uku umsikie huyu
 
Last edited by a moderator:
Duhh husiombe hiyo kitu Passion Lady!Kuna siku tulikuwa tunacheza mpira sasa si ikakatika pale kwenye maungio!Nilishtukia imegota kwenye kwapa,na nilikuwa kifua wazi!Refa si akasimamisha mpira eti nina jezi tofauti na wenzangu!

hahahahaaaaaa!!!ndio vizuri
ikikatika unakua wa tofauti
kila mtu mimacho kwako,niazime moja basi
kama bado unazo maana madukani nimepita sijaona!!
 
Unakodisha in terms of euros, madafu coins , Mugabe pesa, omama's greens au kwa mbesa enga?? tunahitaji wakili na mashahidi ngoja ni mwite Mzee aje kua shahidi wangu siku ya mabidhiano..


rafiki wa kweli.

Nipo hapa!!!!!
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaaaaa!!!ndio vizuri
ikikatika unakua wa tofauti
kila mtu mimacho kwako,niazime moja basi
kama bado unazo maana madukani nimepita sijaona!!

Ni PM Passion Lady nitakuletea,vip unataka ngapi?Ninazo kama tatu hivi ila zimeshonwa kwa sindano ya mkono kule kwenye maungio ya mgodi wa almasi! Mwadui
 
Last edited by a moderator:
rafiki wa kweli.

Nipo hapa!!!!!
kuna a contractual obligation nataka kuingia in between I rafiki na Lady ze doctor, ya ukodishaji wa pichu soksi kwa weekend moja, nakuomba uwe shahidi wangu, sherehe ya makabidhiano itafanyika, JF Chit Chat Hotel, baada ya tukio la kusaini mkataba wa makabidhiano, bendi maarufu ya Chit Chat Jazz band itatumbuiza wakiwemo wasanii maarufu wa JF chit Chat, uje na umpendae, fika bila kukosa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom