BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Sinaga kabisa,kwan kila mtu lzm awe nayo rafikimkweli
upogo..!koh koh
Last edited by a moderator:
Sinaga kabisa,kwan kila mtu lzm awe nayo rafikimkweli
wapare utawajua tu!
Jee unavaa pichu yako mpaka itoboke??
How regularly do you change them...
Unazo ngapi??
Asante kwa kushea experience yako, hiyo nyingine mbona haikutoboka?? size gani?? XL, L, XXL au XXXL??
ata nikiiba zoteni nyingi sana hata ukiniibia sitajua
ohoo, nadhani uliacha kutumia jiki, hiyo L ni Large au Little??nilibadili namna ya ufuaji
ikasalimika..ni size L
ohoo, nadhani uliacha kutumia jiki, hiyo L ni Large au Little??
Ok hiyo Large ni Large ya kawaida au ni abrormal Large kama hii, mpaka inasababisha cracks...hiyo ni large bana
sio mbaya nitayaokota nikampatie jirani yangu maana hana kabisa, nahisi hana maana huwa siyaoni
pacha we hata yakidondoka hamna shida maana una steki mwili wote, mie yakidondoka ndio basi tena jina la kimbaumbau litakuwa langu maana minyama yote imeamia makalioni
ninazo mbili
moja imetoboka katikati
nilikua naifua sana
Asante kwa kushea experience yako, hiyo nyingine mbona haikutoboka?? size gani?? XL, L, XXL au XXXL??
nilibadili namna ya ufuaji
ikasalimika..ni size L
ohoo, nadhani uliacha kutumia jiki, hiyo L ni Large au Little??
hahahaaaaa!!pacha yakidondoka
figure c ndio kushney mwenzio
sijui nianze kuvaa,hivi zile chupi za VIP
bado zipogi?mi ndio nataka zile nijaribu!!
ata nikiiba zote
Duhh husiombe hiyo kitu Passion Lady!Kuna siku tulikuwa tunacheza mpira sasa si ikakatika pale kwenye maungio!Nilishtukia imegota kwenye kwapa,na nilikuwa kifua wazi!Refa si akasimamisha mpira eti nina jezi tofauti na wenzangu!
hahahaaaaa!!pacha yakidondoka
figure c ndio kushney mwenzio
sijui nianze kuvaa,hivi zile chupi za VIP
bado zipogi?mi ndio nataka zile nijaribu!!
mkuu naona ulifanya uharibifu mkubwa sana wa malighafi hiyo adimu, ambayo inapata hifadhi ya aina yake kwa karne hii, imepewa heshima kubwa sana maana inahifadhi Ikulu zetu..Duhh husiombe hiyo kitu Passion Lady!Kuna siku tulikuwa tunacheza mpira sasa si ikakatika pale kwenye maungio!Nilishtukia imegota kwenye kwapa,na nilikuwa kifua wazi!Refa si akasimamisha mpira eti nina jezi tofauti na wenzangu!
Lady nasikia bado unazo zile soksi pichu, zile ndeeefu tokea unyayoni mpaka ikulu..niazime moja ya mtoko kuna kipaimara mahali nataka kwendahahahaaa.... Pacha vaa mwaya yasije dondoka maana yanatusitili sisi vimbaumbau. Halafu zile chupi za VIP nadhani zitakuwa jengo la makumbusho