Ilikuaje ukaiacha!?
Bukta..!? wacha kabisa, ni chupi orijino.
naomba niikute hapo chumbani kwako
Tatizo lenu vijana matozi mno, mie niliona taabu kununua nunua viboxer nikaamua kushona za batiki, zile kiboko, ninazo tatu tu mwaka wa nne sasa hata dalili za kuchakaa hamna, shahidi angu Madame B , afu uzuri wa chupi za kushona unai design mwenyewe inakuwa "user friendly" kwa mfano mie za kwangu zina zip, luksi, mkanda, mifuko ya nyuma e.t.c kuweni wabunifu..
umechelewa mbona na wewe!?
nilikuwa nimeianika nje kunguru akaja akaibeba ndio akaenda kuidondosha kwa Mzee
Nakuja mimi ila rutta ana taarifa!?
Hamna tatizo. Njoo kesho uichukue bibi
nitakuja mapema
Uje ukiwa umejiandaa kwa kazi moja. Longo longo sitaki.
Tuanze na lile pengo la "kati kati".
Mwenyekiti tafadhali, Umenishushia heshima kwa kuniita kijana, tena bitozi.
Labda post zangu ni za ujana tena za kibitozi.
Back to the topic:
Hiyo itakuwa ni BUKTA si pichu
kizibio unacho au kimeshakufa longitaim???
naona Kyupi inataka kuleta ajira
Unajua sie wazee huwa tunaitana vijana vinginevyo hawa akina Lady doctor hawa na akina Passion Lady mmmh...!