Pichu yako imetoboka??

Pichu yako imetoboka??

Mic test: Chupi.


Najaribu kuona kama nikiandika teitei correctly itawekewa videshdesh.
 
ngoja nitafute videshdesh nikuwekee hilo tusi ujue

Hehe nmekua nikishangaa kwann watu huandika kinyume nkadhan labda ni vile videshdesh hutokea.

Kumbe ni kukua kwa lugha jf...

Salama lakini shem??! Ile teitei yako yenye mifuko ya nyuma bado unayo??!
 
Hehe nmekua nikishangaa kwann watu huandika kinyume nkadhan labda ni vile videshdesh hutokea.

Kumbe ni kukua kwa lugha jf...

Salama lakini shem??! Ile teitei yako yenye mifuko ya nyuma bado unayo??!

hahahaaa...... Shem hivi hujaondoka nayo kweli... Maana kila siku naitafuta siioni
 
ntakutumia kwa EMS kwa hiyo usijali.....

ohoo, DHL ndio salama zaidi, ila ningependa iwe siku ya kumbukumbu kwangu, maana sikuhudhuria graduu yangu ya la saba nataka nifidie hapo, unanikabidhi tunapiga picha na wapambe wanaangusha vigele gele..i want it to be memorable
 
ninazo mbili
moja imetoboka katikati
nilikua naifua sana
 
Daaah hii thread imenifanya nicheke mpaaka baas, ila kumbuka hata uwe na pichu nzuri kiasi gani huwezi kuivalia juu ya suruali et kwa madai ionekane
 
Daaah hiit tread imenifanya nicheke mpaaka baas, ila kumbuka hata uwe na pichu nzuri kiasi gani huwezi kuivalia juu ya suruali et kwa madai ionekane
usihofu mkuu, it is a free kantri, unaweza tumia hiyo kama staili ya kutoka , kama yule jamaa wa singo batani, utakua mwanamitindo hodari..
 
kaka jitahidi uwe unavalia juu ya suruali au pensi itakua ni staili yako inayokutofautisha na watu wengne
 
​mi sivai acha yawadondokee tu!!

pacha we hata yakidondoka hamna shida maana una steki mwili wote, mie yakidondoka ndio basi tena jina la kimbaumbau litakuwa langu maana minyama yote imeamia makalioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom