PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Ndo kamaliza karata yake yamwisho mkumbushe zitto Kama Anataka aonekane yeye nibora zaidi haje nahuku karatu.
 
Magamba acheni upuuzi wenu humu,chadema BADO NI IMARA SANA
 
Mwenye macho...!

Wapi Ben Saanane uje ututhibitishie na zile picha za Kahama (japo nilikuwepo), na Kigoma nzima. Na Slaa ameshamaliza ziara Sikonge?

Zitto mwanaume bana kwenye siasa za Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa? Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
Tehe !tehe! tehe! Nimeipenda hii kamanda
 
Mtorela!

Kwanza pole maana najua ulikuwa huamini kuwa swahiba wako angeweza kuchukuliwa hatua hasa kupitia maandiko yako kule mtaa wa pili.

Pili, acha kufanya propaganda za kijinga kupitia maandiko yako! Swahiba wako hajazuiwa kukutana na wapiga kura wake na wala hakuna siku baada ya yeye kuvuliwa nyadhifa zake chadema waliyotamka kuwa haruhusiwi kwenda jimboni kuongea na wapiga kura wake. kama una ushahidi wa yeye kuzuia kwenda kigoma uweke hapa. Acha kupotosha!

Yeye akiamua anaweza kufanya mikutano mpaka Lumumba akisubiria stahili yake inayomfaa kwa namna kamati kuu itakavyo amua.

Usema kuwa tuhuma 11 zilisemwa kwenye jimbo lake?! zilisemwa na nani na lini?! tumia usomi wako na exposure uliyoipata kwa kuongea kwa facts usiwe unazomoka tu kama mtu ambaye hajui mlango wa darasa. Hayo mashtaka unayosema yasemwa jimboni kwake niyapi?!

Pole sana, ungekuwa unampenda sana rafiki unge mshauri asi betray coarse. Sikio likesha kufa halisikii tena dawa.

Kijana hujitambui na laiti ungelikuwa unajitambua usingefika huko uliko huu upuuzi ulioandika hapo juu kawaeleze pale ufipa sio kutuletea utumbo wako hapa sijui wewe ni msambaa gani usiyejitambua.
 
Zitto angetumia nguvu kama hizi kuijenga CDM nchi nzima tangia 2010, nadhani tungekuwa tumesonga mbele zaidi...
 
Mkakati umevujishwa makusudi ili kuukwamisha , nimeanzisha thread ili kumsaidia moods wanaunganisha ........

wewe ni mtu muhimu sana , umenifurahisha baada ya kutoboa kwamba kumbe hata jf inaweza kununuliwa !
 
Mkuu Ritz,siku hizi umekuwa shabiki wa zito? , lini umehama lumumba? au ni kweli kuwa zzk ni mwenzenu?
 
Mama yangu, duuh Zitto kamfunika Slaa, naamini hakuna wa kumtingisha Zitto chadema, dkt slaa hakufikia hata nusu ya hao watu.
Mkuu,
Zitto kamuaibisha vibaya sana Slaa, tofauti ni kubwa mno. Chadema jipangeni juu ya Zitto.
 
Ngoma inayochezwa na zitto haina mashiko, nitamuona ana maana kama leo atataja walioweka fedha uswis. Aseme pia kaandaliwa wizara gani.
 
Zitto angetumia nguvu kama hizi kuijenga CDM nchi nzima tangia 2010, nadhani tungekuwa tumesonga mbele zaidi...
Umeiona nguvu yake eeh, this is Zitto I know..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom