Picha ya siku: Tujikumbushe vituko vya awamu ya tano

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,187
2,000
Kwamba huyu ni mkazi (mzaliwa) wa Chato! Kwamba ni mtu wa kijiweni sana na shughuli zake ni kulima na kufuga! Kwamba sio Shushushu bali ni mkazi ambaye pasina shaka amezoea kuwa hapo alipo na hajui lolote kuhusu SISITIMU

SISITIMU ya awamu ya tano ilifeli sana.Ilikuwa kama watoto wadogo waliovaa pampasi ambao hawajui la kufanya.

6544image12.jpg
mqdefault.jpg
mqdefault-1.jpg
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,728
2,000

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,449
2,000

Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
2,098
2,000
Manabii kama Yesu na Muhammad huwa wanatajwa sana, karibu kila dakika. Shetani naye anatajwa sana sana tu na kusingiziwa mengi mengi tu.

Kwenye mitandao, wanasema iina Yesu linaongoza kwa kutizamwa na hivyo kumfanya jamaa kuwa maarufu kuliko yeyote yule, kwa shetani, sina hakika.

Hapa kwetu, naona kama JPM ndo kifupisho kinachokwenda kasi zaidi, kunani?
 
Jerry Ekky

JF-Expert Member
May 6, 2018
1,200
2,000
Kwamba huyu ni mkazi (mzaliwa) wa Chato! Kwamba ni mtu wa kijiweni sana na shughuli zake ni kulima na kufuga! Kwamba sio Shushushu bali ni mkazi ambaye pasina shaka amezoea kuwa hapo alipo na hajui lolote kuhusu SISITIMU

SISITIMU ya awamu ya tano ilifeli sana.Ilikuwa kama watoto wadogo waliovaa pampasi ambao hawajui la kufanya.

View attachment 1891822 View attachment 1891824 View attachment 1891825
Sio kweli, kama wangekuwa wanaigiza kama unavyodai sidhani kama wangekosea kwenye scene yao kirahisi kiasi hicho. Hawa jamaa huwa hawakosei coz kila kitu huwa kwenye plan kuanzia kuvaa hadi kucheka & kutazama
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,187
2,000
Sio kweli, kama wangekuwa wanaigiza kama unavyodai sidhani kama wangekosea kwenye scene yao kirahisi kiasi hicho. Hawa jamaa huwa hawakosei coz kila kitu huwa kwenye plan kuanzia kuvaa hadi kucheka & kutazama
Hiyo T-shirt jamaa aliyovaa unajua ni t-shirt gani?Kuna mtu wa kijiweni anaweza kuvaa t-shirt kama hiyo?
 
Jerry Ekky

JF-Expert Member
May 6, 2018
1,200
2,000
Ilikuwa ni acting 100% bahati mbaya waigizaji hawakuwa makini na weredi. Ni kama wacheza movie wa bongo wanaigiza ujambazi wa kuvamia nyumba na walipofika mlangoni mwa nyumba wakavua viatu kabla ya kuingia ndani.
100% a joke.Hawa jamaa huwa hawakosei
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom