Wote hao umeona mwenye nguo nyeupe tu?poleMdada mwenye nguo nyeupe anaweza kuwa Fundi kweli....
Si afadhali maana huyo mwenyegauni jeupe ni saa ngp tungeona kazi ya uumbaji wakeHawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..![]()
![]()
HahahahaMdada mwenye nguo nyeupe anaweza kuwa Fundi kweli....
Bila shaka ww ni wa dit bhaana.. Huyu dada alikuwa ananivuruga.. A.k.a churaUmepatia. Ni electrical engineer.
Hawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..
Mwenye nyeupe lini atageuka nisome cheti chake..
Wewe sura ya kazi gani? Usoni unamfunika taulo tu. Hata embe mbichi huliwa na chumvi.Sura yake kwa mbele mmemwona alivyo? au mnaangalia nyuma tu.
Inarudi kwa kukataza kuvaa majoho au by attaining academic standards worth of a University/college education?