Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

Aliye vaa nguo nyeupe kichwani nafikiri ni white sana!

malecture walikuwa wanateleza hapo
 
Hawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..
6ce08f8b3de614955952e54aaeba11eb.jpg
0ef4982e60604b20a2ce931678ff23fb.jpg
d Duu hii ni noma sana hapo watakuwa wamenuna ile mbaya hakuna kujiselfie
 
Kulikuwa na ulazima gani wa kwenda..??? Kwann usisubiri siku ya kuchukua vyeti ukaenda..?? Upuuzi tu huu. Hawa ni bora kuliko Jesca kilaza aliyedisco..!!
 
Hawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..
6ce08f8b3de614955952e54aaeba11eb.jpg
0ef4982e60604b20a2ce931678ff23fb.jpg
Aliyezuia majoho atakuwa na mtindio wa ubongo,embu ona mavazi hayaleti heshima yoyote,mengine hayana maadili,hakuna uniformity kabisa,kwa mavazi yasio na nidhamu kama haya,aliyeamuru anafurahi kabisa roho take inaamani,hivi huu uprofesa unatolewa he,hivi MTU wa hadhi ya uprofesa anaweza kuamuru uhuni kama huu,siwaamini maprofesa ngozi nyeusi,maprofesa ni wazungu tu?
 
Back
Top Bottom