Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Angalia jirani yake ndo utajua ubora wa mwanamke kujihifadhi, haswa wa Kiislaam !Huyo mdada mwenye nyeupe dooooh bora majoho yarudi tuuu.....
Angalia jirani yake ndo utajua ubora wa mwanamke kujihifadhi, haswa wa Kiislaam !Huyo mdada mwenye nyeupe dooooh bora majoho yarudi tuuu.....
Kwani huyo dada sio mwana Diploma?!sasa kwani mmeambiwa umzungumzie huyo mdada au wanadiploma??
Huyo mdada mwenye nyeupe dooooh bora majoho yarudi tuuu.....
Huyo ajira kashapataHata mpiga picha alikuwa anamtazama huyo ndio maana wengi tumemuona
Vijana watapata tu ajira hata wasihofu.Hawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..![]()
![]()
Migugu hamkuiona !?....wengine yakhee miguu ndo maradhi yetu!Mimi hilo zigo tuuu