mrtanzania
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 219
- 126
Heshima ya degree inarudi sasa japo ajira shidaaa
Kwan wenye Nguo nyeupe hawaruhusiw kwenda kona bar au ufukunyuku tuHuyo Dada mwenye nyeupe mbona kama Jana nilimuona kona bar
Umepatia. Ni electrical engineer.
Hata nami nisingeenda maana uende usiende Diploma yako iko pale pale, nini sasa hivyo watu kama wanasubiri kupewa komunio Loh!nisingeenda
Utazungumziaje wanadiploma bila kumtaja mdada mwenye nguo nyeupe? huyo ndio singo iliyobeba albamu.sasa kwani mmeambiwa umzungumzie huyo mdada au wanadiploma??
Mkuu hii msg imekaa kiutata sn...anyway hahahahaMdada mwenye nguo nyeupe anaweza kuwa Fundi kweli....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wahitimu 19 tu, hayo malori ya dangote mafundi itabidi alete wabangladesh,
Hahahaaaa, Macho kodooooMdada mwenye nguo nyeupe anaweza kuwa Fundi kweli....
liko vizuriMdada mwenye nguo nyeupe anaweza kuwa Fundi kweli....
mkuu ni kweli hawa wanaovaaaga mabaibui waga wana zigo la kuvunja hata chaga sema jinsi ya kufunguka nao ni protocal hayo mabaibui waga naona miyeyusho.ndio maana wakifika disco wanayaweka kwenye mikoba.Unawezakukuta huyo wa pembeni yake aliyevaa dira/baibui/ushungi anamfunika kwa chura. Huwa nawapimiaga sana nikiwaona na hayo mavazi na nilisha waotea kadhaa enzi hizo nikiwa bado mchezaji wa ligi daraja la kwanza