Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

Chekechea kama kwa AMAZON. Majoho ni biashara kwa kwenye shule walioshona mapya watamkodishis nani duuuuu
 
Yan hii nchi bana sasa mtu anamalizaje chuo anapewa cheti ivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Huyo dada mwenye gauni jeupe ana namba ya faru john? Maana naona ana chura balaa
 
Kuvaa majoho ni sheria au taratibu za mahafali
 
Back
Top Bottom