wanatia hurumaHawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..![]()
![]()
namfahamu huyo dada,alikuwa civil na co electricalUmepatia. Ni electrical engineer.
hahaha kwel mkuu,unaamua tu.sema tatzo hata walimu au mavc wa vyuo wamekatazwa kuwaruhus so unaeza vaa afu ukavuliwa mbele ya umma kwa hii nchi yetu kawaid sana.Maagizo ya kimaigizo
.majoho inakua issue.mie ningevaa tu joho atafanya nn
Johoo not any issue, issue nikupata kile ulichokitafuta.Hawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..![]()
![]()
Nyama ya Bata ni tamuu ww, ila uyo weupe mashalaah.......Hawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..![]()
![]()
Mdada mwenye nguo nyeupe anaweza kuwa Fundi kweli....
Ni kweli kabisa kuwe na uniform special au hata wakivaa basi wakubaliane angalau rangi ya nguo!Washonewe uniform
electrical technicianUmepatia. Ni electrical engineer.
SafiHawa kwenye picha ni wanafunzi wa ngazi ya diploma wakitunukiwa cheti cha ngazi hiyo bila majoho kutoka chuo cha DIT..![]()
![]()