Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho


E

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
10,879
Likes
4,762
Points
280
E

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
10,879 4,762 280
Huyo mdada mwenye nyeupe dooooh bora majoho yarudi tuuu.....
kweli bora majoho yarudi tu, mtatuharibia swaumu, wanaweza yatofautisha rangi, yadiploma yanaweza kuwa ya zambarau digirii yakawa meusi na phd yakawa mekundu
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Huyu anayewatunuku kavaa joho, bora na yeye asingevaa.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Lengo ni elimu hata hayo majoho hayasaidie hata kidogo, elimu waliipata inawatosha kuliko haya majoho yao.
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
21,855
Likes
36,366
Points
280
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
21,855 36,366 280
nisingeenda
 

Forum statistics

Threads 1,272,943
Members 490,211
Posts 30,465,430