Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

hivi ulishindwa kupiga picha kwa mbele?
tunatiana majaribuni hivi
 
~~>>>Huyo mwenye "White" aje nimvishe joho la Uzima..........
 
Kweli ubaguzi wa rangi hautaisha. Watu wameona nyeupe tu, khatari sana aisee..
 
6027c8663a90e79192ca50e251bad92e.jpg

Ndyo huyo apo.
 
Hawa watakuwa laboratory technology tu maana ndio kuna madada wengi,
 
Safi sana, heshima ya vyuo vikuu imerudi

Heshima ya degree haiko kwenye majoho na vyeti vya makaratasi.
Inaka kichwani je mawazo, mtazamo na maamuzi ya mhitimu vinaendana na level. Kuna wengine wa vaa tu joho ila kichwani ni zero, ndio mambo yaliopo sasa. Mtu ana phd hawezi kuandika barua ya kuomba Kazi na majoho alivaa
 
Kwakuwa tumezoea Matamko si ajabu ukaja sikia wakitangaza wahitimu na wageni wao wa kike wavae madera kwa kika na kwa kiume wavae Mashati ya Vitenge
 
Naona comments 80% ni tamaa ya kimahaba kwa Dada mwenye gauni jeupe.

Mada ya majoho 15%( Mada Husika )

Others 5%
 
Back
Top Bottom