Picha: Vyombo vya CCM

Maandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao.
Yaani ulilosema linafikirisha sana, kwa nini wanaingia gharama zote hizo na wanajua watajitangazia ushindi mchana kweupe. Hizo pesa wangepeleka kwenye shughuli zingine tu.
 
Hzo gharama za billboard, kutengeneza t-shirt, kutengeneza kanga, kuita watu vikao, kugawa pesa kwenye vikundi, yoote hayo wangefungua hata mfuko wenye jina walipendalo alafu likawa linafanya juhudi za kusaidia na kuleta maendeleo kwa watanzania nadhan hzo kura wangezipata kirahisi mno kuliko hv sasa wanatengeneza mazingira magumu sana kumnad mwenye kit
 
Yaani ulilosema linafikirisha sana, kwa nini wanaingia gharama zote hizo na wanajua watajitangazia ushindi mchana kweupe. Hizo pesa wangepeleka kwenye shughuli zingine tu.
This time piga kura, Linda kura. Wezi hatuwataki kwenye ofisi ya umma
 
... huku Busega na fisi wa uchafuzi TAYARI!
1711593165894.png
 
Swali moja la kizalendo:
Hizo pesa zilizotumika kununua pikipiki ni za chama au za umma.
Kama ni za umma ni jambo la kusikitisha sana.
Na itashangaza watu fulani kujiita TISS.
 
Back
Top Bottom