Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia mh smuel sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

cc: REV KISOLO
 
Last edited by a moderator:
Hapo itakua Mr. Eagle alipotezea mualiko akamtuma 6.

Hawana mitaji ya uwekezaji hao zaidi ya kutaka kuwa "madalali" wa rasilimali za bongo.

Kwa hasira zao wamemtenga mshkaji.....safi sana 6 komaa nao hata wangesema ukae kwy mkeka poa tu.

Lengo lao walitaka wapate sababu tz hakuhudhuria mualiko.
Wamefungwa mdomo hapo.
 
Wabongo kwa kushabikia mambo ya kipumbavu mmeshinda.
we unaona huu ni upumbavu kukalishwa kwenye majani na kiti cha bar unaona ni kitu cha kipumbavu hapa uzalendo kwanza wametudhalilisha
 
hahaha!!! unajipendekeza kwa watu hawakupendi!!!!?? yani hata hicho kiti hakiendani na wenzake, kajilazimishia.

Wanafasihi wakianza kuchambua hapo kwenye kiti acha kabisa... wanaweza kutoa hoja za kukushangaza
mfano wanaweza wakakwambia Sitta kapewa kiti cha rangi...nyeupe, kwa sababu watawala wengi nchini mwake wanaabudi wazungu(ngozi nyeupe) kuliko raia wanowatala,.....ama wakamsifu kwa rangi ya kiti hicho hicho.

Hivi ilikuwa lazima apige picha katika mazingira yale...!? Samwel hamna kitu, katudhalilisha.
 
we unaona huu ni upumbavu kukalishwa kwenye majani na kiti cha bar unaona ni kitu cha kipumbavu hapa uzalendo kwanza wametudhalilisha

Inawezekana walimkataa mapema yeye kang'ang'ania ndio mana wakamkomesha kwa kumpatia kiti cha bar.
 
Dah Sitta kama Sangoma vile! Stahili yake unafiki mwingi mno.
 
10410297_824822447577597_4592484584682590232_n.jpg

Hii picha kila nikiiangalai na nikimuangalia Mh Smuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma ,kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike

Yaani mpaka kazidiwa na huyo mama wa Burundi? Kwa kweli hicho walichomfanyia ni maksudi kabisa, ona viti vyao na jinsi walivyotanua magoli!!!! Kulikuwa na sababu gani ya kuviweka mbali mbali hivyo? Naye Sitt ni mpuuzi tu kwa nini hakuondoka? Ona sasa anavyojidhalilisha kwa kuwaangalia wenzake kwa jicho baya!!!
 
mmeshaniharibia siku ya leo,hivi ni kwanini tz tunaongozwa na watu wajinga kiasi hiki?Hivi 6 alikuwa na ulazima gani kupiga picha hii?
 
FOR THOSE WHO FEEL THE COUNTRY THIS IS VERY PAINFUL......

Japo nina machungu yangu dhidi ya Mzee Wetu huyu SITA na BUNGE la KATIBA kwa hili NAFEEL NI MIMI MWENYEWE, NA KAMA KAFANYIWA MTANZANIA YOYOTE YULE TOKA Magagura Songea, Mpaka Nyamongo Tarime Mara, Na kutoka Mwika Marangu Kilimanjro Mpaka Kanyigo Bukoba.

OUR FORE FATHERS WALITUACHIA TAIFA LENYE HESHIMA SANA KIMATAIFA-Mwalimu anasema mikutano ya UMOJA WA MATAIFA Mtanzania alikuwa akikaribia kuhutubia Wasikilizaji walikuwa wanasita kwenda kuvuta Sigara wanakaa kusikiliza Mtanzania huyo atasema Nini?Leo hii ni haya ya Mzee Sita.

Leo tuko hapa EAST AFRICA Mzee Sita mwakilishi wetu kawekwa kama MVAMIZI WA JAMBO LISILO MUHUSU...

DO WE NEED THEM THAN THEY NEED US!!!!..............Kama Mtanzania Nimejiona Nafasi Yangu Kwenye EAC kupitia PICHA HIYO YA SITA.

Wachina wansema A PICTURE SPEAKS A THOUSANDS WORDS............Picture hii Imeongea Maneno Maelfu Kwa Watanzania.

TULIPOFIKA ....MUNGU PANATOSHA.
 
kabisa mkuu nakuunga mkono tunahitaji viongozimasikini jeuri mambo ya kubembelezana kwenye masuala ya kimataifa sio jadi yetu watanzania
 
  • Thanks
Reactions: DSN

Similar Discussions

Back
Top Bottom