Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,982
- 1,009
aaHasara kwa familia yake.
mkuu nyaujimmy kwa kweli familia yake imesikitika. nilipita msibani hapa nyumbani kwake dar ukonga(mji wa marehemu kwa hapa dar) makamanda wamejaa. hiyo ilikuwa mchana saa saba.