Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

Hasara kwa familia yake.
aa

mkuu nyaujimmy kwa kweli familia yake imesikitika. nilipita msibani hapa nyumbani kwake dar ukonga(mji wa marehemu kwa hapa dar) makamanda wamejaa. hiyo ilikuwa mchana saa saba.
 
Aiseeee babaangu hivi wakuu m2 anavyoomba lift anasema naomba lift mpaka nyumbani kwangu au anasema naomba unishushe hapa mbele lift gani mpaka getini kwa m2,,na uyo rpc kafa kifo cha kijinga kama kanumba
 
Why getini kwa mama kwa sababu inawezekana hakua na security kwa maana ya walinzi ambao wangeweza kutibua deal.
Getini kwa kamanda lazima kuna walinzi tena polisi hivyo haiwezi kuwa sehemu nzuri kufanya tukio kama hilo.
 
Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.

Mjane...mme wake kafariki lini isije kuwa kamanda kamrestisha in peace ili afaidi tundi sababu bado tunakumbukumbu za afisa uhamiaji kukoswakoswa kisa kiburudisho.!
 
Hizo picha zipe nyama mkubwa, tujue mkewe, watoto na wajomba zake.

Mie zimenipa utata, inatajwa ni nyumbani kwa "marehemu BARLOW" lkn pia inasemwa ni kwa Mwl so does it mean hapo pia ndo palikuwa nyumbani kwa Kamanda? Well mke wake Kamanda yuko wapi?
 
kwan jaman hivi kuna vikao vya harusi vinafanyika hadi saa nanez? Sasa harusi ndio hadi saa ngapi au asubuhi?
 
watakuwa walikwisha kula tunda la kati kati, ni vema uchunguzi ufanyike ili kujua hoteli waliyoitumia usiku huo kuvunja amri ya sita, dini yangu inafundisha kuwa mauti yakikufika ukiwa unatoka kuzini basi moja kwa moja jehanamu/ motoni duh kamanda...

Sidhani kama kapata nafasi ya kutubu. Hapo hata Padre au mchungaji asiitwe kwenye mazishi kupoteza muda wake.
 
Hakuna haja ya kuongea mengi mwandishi wa habari wa aliwakosea nn ndo malipo yanaanza
 
La muhimu kwa jeshi la polisi ni kuchunguza mazingira ya kifo! wasitegemee kupata ukweli moja kwa moja kutoka kwa huyo aitwae dada yake. Kwanza wathibitishe uhusiano uliopo kati ya marehemu na mwalimu Dorcas, jee mume wa mwalim dorcas anasemaje juu ya uhusiano huo (kama kweli huyo mume yupo!), jee alishawahi kumuonya mkewe, au kuongea na marehemu hata kwa simu? na vitu kama hivo.......

Unaanzia wapi kuamini kwamba huyo aliyekuwa naye ndiye Dorcas??

Kama polisi waliweza kujaribu kupika hadithi isiyopikika ya Nyololo...utawezaje kuamini kuwa hii story siyo mojawapo ya singles zao za kawaida??

Ni tukio baya ila sasa hawa jamaa wameshaweka mazingira ya kutoaminika!
 
Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.

Angalia wanavyojichanganya.

Mkuu wa Mkoa: Marehemu alikutwa na umaut alipokuwa anamrudisha Ndugu yake (Na sio Dadaake kama Mwema alivyokurupuka) Home kutoka Harusin (Na sio Kikao Cha Harusi) Akitumia Gari aina ya Toyota Hilux (Na sio RAV4)
Akaenda Mbali zaid, wakatokea watu 6 wakazingira gari la Kamanda, Huyo Mwanamke haijulikani kama alikuwa ameshuka garini ama la (Pambav zaku huyu Mkuu wa Mkoa, hayo Maelezo kayatoa wapi kama sio kutoka kwa huyo Mwanamke)
Yakatokea Mabjibishano na kamanda alipotaka kuchukua Radio Call ndipo Jamaa waka Mpiga Risasi.

My Take.
Hivi haya Maelezo hawa wahuni wameyatoa wapi kama source sio Huyo Mwanamke??????????
Yani huyo Mwanamke alikuwa hajui kama alikuwa ameshuka garini ama la By the time Gari ya Kamanda libe (RIP) Imezingirwa????
Huyu Mkuu wa Mkoa ameaibisha sana Taaluma ya Uhandisi.
 
Further Concern
Huyu Mkuu wa Mkoa ameaibisha sana Taaluma ya Uhandisi.
 
Back
Top Bottom