Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

Hapo kwenye Nyekundu unamaanisha nini?kwamba jamaa ni Mhandisi na anadhalilisha taaluma ama Uhandishi kwa kukosea kupanga matukio?
Jamaa ni Engineer na anadhalilisha Taaluma ya Uhandisi kwa kuongea Pumba
 
Mabati ya nyumba yanafunika vitu vingi sana Smile, so usishangae, si ajabu aliaga anaenda kwenye harusi mara yamemkuta ya kumkuta

Hiyo ndio style ya wake wengi wa watu wanaenda nje atasingizia harusi mikutano yao sijui kitu gani na ndio hapo mtu anaenda nje ya ndoa hilo halina ubishi na hii ni both side men and women.

Hivi Police hawana msemaji wao kitengo cha habari na akiwa amepewa full details na askari walio chunguza kifo cha RPC kilivyo tokea????? au kuna watu wanapenda tu kuonekana kwenye vyombo vya habari?

Me nadhani hata kama kamanda alikuwa na uhusiano na huyo mwalimu yet kunaweza kukawa na visa huko nje kati yake kamanda na aliye tuma kumuua kamanda na wakaamua kumfanyizia wakati ako na huyo mama ili kujenga picha tofauti ya mauji. ikawa ameuwawa kwa kuwa alikutwa na mke wa mtu kumbe sivyo. kwani ni viongozi wangapi wanatembea na wake za watu?na hawa wanawake wangapi wanatembea na waume za watu? hata huku uraini hili tukio la mwanaume na mwanamke kutembea nje ya ndoa ni kubwa sana , ndoa nyingi ziko mashakani sana, Wana ndoa hawatimiziani na wanajificha kulinda ndoa huku ndoa haifanyiki kama unavyoiona, wenzetu wazung wananachana sana kuliko kuficha uozo wa ndoa kwanini usile raha mwenyewe ukae kwa amani kuliko kujificha kwenye kivuli cha ndoa isiyo enda.
 
kwa hiyo ndo akawa anamsaidia

Jamani umeisha ambiwa ni mjane sasa nae anayo haki ya kibinadamu kumpenda mtu yeyote katika roho yake, na kama mwalimu ni mjane ndio mtakuja kubaliana nami kuwa kifo cha kamanda sio cha mwanamke ni visasi fulani hivi
 
Kwa kila kifo cha mwanadamu kina sababu lukuki nyuma yake,Yeye amemaliza yake katika dunia hii,pumzika kwa amani kamanda.
 


Jamani umeisha ambiwa ni mjane sasa nae anayo haki ya kibinadamu kumpenda mtu yeyote katika roho yake, na kama mwalimu ni mjane ndio mtakuja kubaliana nami kuwa kifo cha kamanda sio cha mwanamke ni visasi fulani hivi

Ndugu.. we waache waendeleee na kushabikia mjane wa watu....
Wamebakia ohh mke wa mtu, kuwafafanulia kuwa ni mjane..wameendelea kushadidia mjane anasaidiwa.
Nchii hii bana, watu hupenda sana udaku na umbeya hata uwafunulie vipi hawaoni.
 
Vikao vya harusi siku hizi mpaka saa nane, haya....fumbo afumbiwe mjinga...:spy:

Mkuu hahaha najua kwanini umesema hivyo ila kumbuka mtoa hoja alisha sema tokea mwanzo kuwa viongozi walio toa taarifa wamejikanganya sana, which means wanapenda kulukia majibu bila kufanya uchunguzi wa kina kuhusu kifo cha huyo kamanda wao wamekimbiali porojo za mitaani wanashindwa kutumia taaruma za upelelezi na taaluma za waandishi wa habari kuchukuwa nafasi yake.

Investigation ya kiongozi mkubwa kama Marehemu Barlow si ndogo au kuichukua cheeeeeeeeeap kiasi hicho me huwa najiuliza hivi hizi crime scene investigation huwa wanazifanyaje wali check hata bullet iliyotumika ni ya aina gani? Bali wao walikimbilia kujibu mambo ya mdomo tu kwa watanzania. huku kuwa na serikali legelege ndiko kunatuponza hatupendi jishugulisha tujue misingi ya matatizo yetu yako wapi na wapi tupite tuyatatue ni kukimbila majibu mepesi kila kukicha
 
Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.

Vikao vya siku hizi bwana!! Hadi saa saba za usiku???? Inaonekana bajeti ya harusi ilikuwa kubwa sana na hivyo ANALYSISI yake ilitumia muda mrefu sana!!! Kazi kweli, usilo lijua.......!!!!
 
huyo Mama yamempata ya Lulu na Kanumba,
kama kahusika au hahusika bado ni utata

muwe makini na waume/wake za watu hasa nyakati za usiku
Hicho ni kifo cha bifu sio majambazi
 
Msipende assumptions kila mara.
Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.

Dadavua vizuri Tausi kikao cha harusi usiku wa manane? so km ni mjane anaruhusiwa kutoka kikao cha harusi ucku wa manane na mwanaume asiye mumewe?
 
Dadavua vizuri Tausi kikao cha harusi usiku wa manane? so km ni mjane anaruhusiwa kutoka kikao cha harusi ucku wa manane na mwanaume asiye mumewe?
jamani..itabidi mnilipe sasa maana nimeshafafanua vya kutosha.Jibu langu lilikua linajibu hoja ya "mke wa mtu............."..
Someni basi mtiririko kabla ya kuanza kuuliza maswali yaleyale
 
jamani..itabidi mnilipe sasa maana nimeshafafanua vya kutosha.Jibu langu lilikua linajibu hoja ya "mke wa mtu............."..
Someni basi mtiririko kabla ya kuanza kuuliza maswali yaleyale

Hahahaha, am sor mtiririko sikuufuatilia ipasavyo, nisamehe bure nisipate invoice ya kulipia
 
Back
Top Bottom