Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkusa, Oct 13, 2012.

 1. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35  Angalia wanavyojichanganya.

  Mkuu wa Mkoa: Marehemu alikutwa na umaut alipokuwa anamrudisha Ndugu yake (Na sio Dadaake kama Mwema alivyokurupuka) Home kutoka Harusin (Na sio Kikao Cha Harusi) Akitumia Gari aina ya Toyota Hilux (Na sio RAV4)
  Akaenda Mbali zaid, wakatokea watu 6 wakazingira gari la Kamanda, Huyo Mwanamke haijulikani kama alikuwa ameshuka garini ama la (Pambav zaku huyu Mkuu wa Mkoa, hayo Maelezo kayatoa wapi kama sio kutoka kwa huyo Mwanamke)
  Yakatokea Mabjibishano na kamanda alipotaka kuchukua Radio Call ndipo Jamaa waka Mpiga Risasi.

  My Take.
  Hivi haya Maelezo hawa wahuni wameyatoa wapi kama source sio Huyo Mwanamke??????????
  Yani huyo Mwanamke alikuwa hajui kama alikuwa ameshuka garini ama la By the time Gari ya Kamanda libe (RIP) Imezingirwa????
  Huyu Mkuu wa Mkoa ameaibisha sana Taaluma ya Uhandisi.

   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uhuuuu huyo mwalimu nae
  saa nane mke wa mtu hujarudi home jamani?
  si wangelala tu hukohuko
  kweli ndoa zina mambo
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280

  Smile,
  Atalala vipi nje mke wa mtu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kama ameshindwa kukituliza kwa mumewe akilaze huko huko
  hakina thamani hata kikilazwa jela
   
 5. ram

  ram JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,201
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mabati ya nyumba yanafunika vitu vingi sana Smile, so usishangae, si ajabu aliaga anaenda kwenye harusi mara yamemkuta ya kumkuta
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wakati mwingine huwa unanikosha kwa mapoint yako. Nasikia mwenye mke alishaapa kuwa litakalokuwa na liwe!
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  eti babu hata kama ni kukigawa unaweza kukirudisha saa nane na nusu usiku?
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli shosti nomaaa ...
   
 9. Dabiliyuu

  Dabiliyuu Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ha ha ha haaaaaa.............ila jela nako kitakuwa na thamani au...?
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hayo ndo matatizo ya watu kudharau social media. Anyway, it is too late ila kinga zote za wazinzi zilishafafanuliwa vizuri na wataalamu wa MMU. Waliokuwa wanakandia packages za The Boss na Teamo leo ndo watajua umuhimu wake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. a

  al karim Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Jeshi la polisi lini mtaacha kuwaongopea wananchi mlioapa kuwalinda?mkiua raia wasio na hatia mnajidai wameuawa na vitu vyenye ncha kali,akiuawamwenzenu ktk fumanizi,kauawa na majambazi
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Na wasi wasi itakuwa ni FUMANIZI
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hata hivyo jamaa amefaidi sana, hadi saa 8 na nusu usiku! Hah hah hah haaa
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  watakuwa walikwisha kula tunda la kati kati, ni vema uchunguzi ufanyike ili kujua hoteli waliyoitumia usiku huo kuvunja amri ya sita, dini yangu inafundisha kuwa mauti yakikufika ukiwa unatoka kuzini basi moja kwa moja jehanamu/ motoni duh kamanda...
   
 15. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu fred Katulanda ni member hapa atakuja atupe ukweli kadri ya uchunguzi wake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Msipende assumptions kila mara.
  Usiku ndio.....Walikuwa kwenye kikao cha harusi.
  Isitoshe huyo mwalimu ni mjane.
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hasara kwa familia yake.
   
 19. mungelehumphrey

  mungelehumphrey Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pole wote kwa msiba lakini mazingira ya kifo yana utata huyo mwanamke ni mke wa mtu au vp hilo nalo ni muhimu kujua.:juggle:
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kamanda alikuwa doria....
   
Loading...