Picha: Nyumbani kwa The Late SACP Liberatus Barlow

Nasikitikia watu kukaza bongo zao kwenye kitu cha kufikirika badala ya kifo kilichotokea. Tukiendekeza mambo ya vijiweni kuchukua nafasi tunapojadili mambo mazito tunaendekeza uswahili badala ya kupanda ngazi moja juu kuwa watu wa kupima mambo na mwenyendo wa matukio mbalimbali yatokeayo nchini.

Eneo la tukio ambako Kamanda ameuawa linaonyesha kila dalili ya kupangwa, kwa sababu ni makazi ya watu na walijua lini atatoka eneo aliko na wapi atafikia. Kuna kila dalili ya kufuatiliwa nyendo zake kwa siku nzima, na utaratibu huu si wa polisi wa kawaida kuna uwezekano wa Umoja wa wanawake kuhusika.

Siku mbili au tatu zilizotangulia Kamanda mwingine wa Uhamiaji amenusurika kwa njia, mwendo na mazingira haya haya. Inaelekea yule wa uhamiaji ni jasiri, lakini huyu walimpania eneo ambalo hawezi kupata nafasi.

Jiji la Mwanza kuna kila dalili ya kwamba uongozi wa polisi wanaruhusu vyama vya upinzani kufanya mambo yao bila bughudha, na watu kama hao hawatakiwa na serikali ya CCM. Wanawataka watu kama akina Kamanda Kamuhanda.

Kwa vyo vyote kuna kitu ambacho cha kujiuliza nini kinaendelea serikalini kikiogozwa na CCM yenye kushinda Uchaguzi Mkuu uliopita.

Kwa sasa ye yote anayeonekana kuwa hatari kushinda Urais anawindwa kama nyati msituni.

Nakupa saluti Mkuu! Umesema kitu ambacho kina mantiki mno. Hebu tujikumbushe MH.PINDA alivyozomewa, unganisha na tukio la leo.... Jibu tayari tunalo!
 
Sasa na wewe unataka hata akienda toulet ama kumsindikiza 'dada' alindwe? Saa zingine wanaongea mambo ya kifamilia mwanawane. Mbona mukulu akienda serena hotel halindwi hadi 'toilet'?
Kweli Mkuu nilisahau hakuna walinzi wala camera msalani,
 
Hawa askari wakiuwawa huwa wanasema wamejipanga kupambana na majambazi sasa leo kwao safi sana. Eeeh Mungu mpeleke huyo mtu mahali panapostahili kulingana na matendo yake hapa duniani
 
watakuwa walikwisha kula tunda la kati kati, ni vema uchunguzi ufanyike ili kujua hoteli waliyoitumia usiku huo kuvunja amri ya sita, dini yangu inafundisha kuwa mauti yakikufika ukiwa unatoka kuzini basi moja kwa moja jehanamu/ motoni duh kamanda...

Leta aya mkuu. Usije ukawa unaudanganya ummah wa Muhammad
 
Hawa askari wakiuwawa huwa wanasema wamejipanga kupambana na majambazi sasa leo kwao safi sana. Eeeh Mungu mpeleke huyo mtu mahali panapostahili kulingana na matendo yake hapa duniani
1.jpg

[h=2]The Late SACP Liberatus Barlow[/h]
Tujaribu kuwa na jicho pana kidogo. Kuna kitu ambacho kinafanyika kwa sababu za kisiasa. Hatujasikia kashkash za mabomu ya kuwalipulia makamanda wa magwanda wanapofanya majamboz yao Mwanza. Huyu ndiye mwenye kutoa mwongozo nini kifanyike na nini kisifanyike.

Kumhamisha ko kote aendako ataendelea na msimamo huo kwa vile hayuko tayari kutumiwa kwa masilahi ya Akina Mwema na CCM yao. Hiki ndicho kinachoendelea.
 
Wakati mwingine huwa unanikosha kwa mapoint yako. Nasikia mwenye mke alishaapa kuwa litakalokuwa na liwe!

Namkumbuka Mh. PM. Pinda... Alisema 'LIWALO NA LIWE' kisha Ulimboka akatekwa. Sasa mme kasema 'LIWALO NA LIWE'.. RPC ame R.I.P.. Ipo hata ya wanazuoni wa skuli ya kiswahili kuchunguza undani wa kifungu hicho cha maneno.
 
Kwa nini hajahojiwa mme wa huyo Mwalimu?? Au alijificha baada ya risasi za moto kulipuka??
 
uhuuuu huyo mwalimu nae
saa nane mke wa mtu hujarudi home jamani?
si wangelala tu hukohuko
kweli ndoa zina mambo

Smile, si unajua 'kikao cha harusi' huwa kireeeeeeeeeeeeeefu kupanga mikakati ya 'ndoa'
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine huwa unanikosha kwa mapoint yako. Nasikia mwenye mke alishaapa kuwa litakalokuwa na liwe!

Dark City, ina maana huyo mama ameolewa? Hivi ukishakuwa kamanda wa polisi akili nazo zinakoma kufanya kazi? Hii inanikumbusha hadithi ya Dr. Kleruu na yule mzee wa kihehe Mwamwindi. Unaenda kwa mke wa mtu saa nane usiku unategemea nini? Inawezekana jamaa alishafanya mazoea. Si angemuhamisha nyumba ajue moja.
 
Last edited by a moderator:
eti babu hata kama ni kukigawa unaweza kukirudisha saa nane na nusu usiku?
Si tumeambiwa ni dadake walikuwa wanatoka kwenye kikao cha maandalizi ya harusi? Kumbe ni mambo mengine? Kazi kweli kweli!!!
 
Kumbe kifo chake ni chakufumaniwa? hizi TOFI zitatumaliza sana
sisi wanaume.
 
Back
Top Bottom