Elections 2010 PICHA NA VIDEO: Kampeni za Slaa jimboni Kawe leo

roho yangu naiweka rehani kwako ewe slaa, uniamuru nifanye lolote na unitume kokote kwa ajili ya Taifa langu la Tanzania, damu yangu igande na kakaa la ulimi wangu ligandamane nisipoamini kuwa ukombozi wza kweli ni sasa.
 
maneno ya kitume haswa haya...Daaaaah huyu mzee bana mi kwa kweli icant wait to see him swearing to be the next president of this republic
 
Watu wanamsikiliza Dr. Slaa Rais wa tano wa Tanzania kwa makini na utulivu wa hali ya juu, inafurahisha sana kwa kweli.
 
qpijye.jpg

2emcsas.jpg

xcnmh3.jpg

108af07.jpg

2hrlx0w.jpg

Jamani nisaidieni, hivi Kawe si iko maeneo ya Pwani? au ni kanda ya ziwa? maana MS alisema pwani Dr wa ukweli hakubaliki, sasa hizi picha duh! Ila najua MS atasema zime-b edited.))
New mabadiliko.., Go go go Dr Slaa
 
Kawe iko wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es salaam
 
Duh!!! kwa kweli kuna mwamko mkubwa..

.
MMJ ulifikiri wabongo safari hii tunatania? Tunamaanisha biashara kweli na hakuna kulala mpaka kimeeleweka. LEO JIONI YA SAA MOJA NIMEPITIA HAPO UBUNGO PLAZA KUHAKIKI KWA MARA YA NNE JINA LANGU NA MKE WANGU NA NIMEJIRIDHISHA KWA MARA YA NNE KWAMBA YAPO SALAMA TAYARI KUMTALIKI Jk na KUMKARIBISHA SLAA NDANI YA IKULU. PAMOJA NAE MNYIKA ATAFAIDIKA NA NAFASI YA UBUNGE!:amen:
 
Jamani geograph ya Dar nimeisahau, Kawe iko upande upi? Msinicheke, I left Dar about 18 years ago,and even though i visited Tanzania so ma
ny times but i dont know WHERE IS WHERE?
 
Dr. Slaa bado kampeni zake hazina mchanganyiko wa watu tofauti tofauti (Diversity). Inaonekana Chadema, ni chama cha watu wachache ambao wana agenda tofauti kabisa na kampeni zao.
 
Jamani geograph ya Dar nimeisahau, Kawe iko upande upi? Msinicheke, I left Dar about 18 years ago,and even though i visited Tanzania so ma
ny times but i dont know WHERE IS WHERE?

I thnk ukiifuata barabara inayoenda Bagamoyo utaikuta, ila sijui exactly maana mi mwenyewe ni kihiyo wa Dar/bongoslam
 
Dr. Slaa bado kampeni zake hazina mchanganyiko wa watu tofauti tofauti (Diversity). Inaonekana Chadema, ni chama cha watu wachache ambao wana agenda tofauti kabisa na kampeni zao.

Neno hili... sioni wanawake kwenye mikutano..kulikoni?
 
wiki ijayo Dr. Slaa akiapishwa km rais wa 5 wa tz, ntalia sana kwa furaha na kwa uchungu wa kwann tulichelewa watz kufanya mabadiliko, ntakunywa pombe sana siku hiyo. KIWETE akiapishwa nasaka visa nichomoke hii nchi. take my word.
 
jamani nisaidieni, hivi kawe si iko maeneo ya pwani? Au ni kanda ya ziwa? Maana ms alisema pwani dr wa ukweli hakubaliki, sasa hizi picha duh! Ila najua ms atasema zime-b edited.))
new mabadiliko.., go go go dr slaa

mimi ndio mwana ccm wa kufa mtu, ila kura yangu nampa
dr. Rev. Peter slaa mkombozi wa tanzania
wana ccm wengine wote
msitupe kura zenu ******,
mkimpa kikwete kura ni kumpa
rostam aziz
lowassa
kikwte na familia yake
makamba na familia yake nchi
mpeni dr. Slaa kura ili watoto wetu wapate elimu wanayao stahili. Kura kwa dr. Slaa wana ccm wote

dr. Slaaa hoyeeeeeeeeeeeeeee
hoyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
MASLAHI YA WAHUDHURIAJI HAWA SIO PESA WALA LIFT NI HAJA YA MABADILIKO.

Hawa hawakuletwa na chochote zaidi ya HAJA YA MABADILIKO.
KIONGOZI MMOJA ALISEMA HUWEZI KUFIKA UNAKOTAKA HUKU UKIBAKIA PALE PALE ULIPOKUWA.

WATU WANAOFANYA MAMBO NAMNA ILEILE WALIYOZOEA KUFANYA WATAPATA MATOKEO YALE YALE WALIOZOEA KUPATA. KAMA UNATAKA TANZANIA YA TOFAUTI LAZIMA UFANYE TOFAUTI KWA SASA.
 
mimi ndio mwana ccm wa kufa mtu, ila kura yangu nampa
dr. Rev. Peter slaa mkombozi wa tanzania
wana ccm wengine wote
msitupe kura zenu ******,
mkimpa kikwete kura ni kumpa
rostam aziz
lowassa
kikwte na familia yake
makamba na familia yake nchi
mpeni dr. Slaa kura ili watoto wetu wapate elimu wanayao stahili. Kura kwa dr. Slaa wana ccm wote

dr. Slaaa hoyeeeeeeeeeeeeeee
hoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Kama hadi F-Original unampigia debe Dr. wa kweli basi kuna kitu cha kushangaza na kutia moyo kinaendelea Tanzania. Katika njozi zangu sikufikiria kati ya watu wakaoguswa na ujumbe wa mabadiliko wewe utakuwa mmoja wao. Nakuombea na wewe ushinde kule.
 
Baada ya mkutano huo kundi kubwa la vijana waliandamana kwa mchakamchaka wakiimba "KIKWETE ANATOKA, SLAA ANAINGIA" wakitokea mkutanoni kuelekea barabara ya Bagamoyo! It was threatening to CCM fanatics.
 
Kweli kabisa tushakuwa watu wa kuweza kujua zuri na baya ..Ee Mola ahsante kwa kutupa maono haya mazuri.
 
.....Eeee Baba mUNGU twakuomba utuwezeshe Watanzania kujichagulia viongozi wenye nia njema. Madhali wazisoma roho za Bin adam wote, basi utuepushie wenye nia ovu zilizojifichika mioyoni mwao, wasije wakajitia Serikalini ikawa Serikali yetu tukufu heshi kuumwa na kumbe maradhi yamebebwa na wao. Twakusihi usikie dua na maombi ya waja wako
 
Yes inapendeza.

Ninachoomba siku ya 31.10.2010 umati huu huu ujitokeze kumpa kura za NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOO DR.SLAA ili tupate MABADILIKO YA KWELI. Tumeshachoka na LONGOLONGO za CCM.

CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!
CCM ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!
 
Back
Top Bottom