Tulia Ackson anahusika na utapeli wa mikopo mitandaoni?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,174
Reaction score
286,073
Tumeuliza hivyo kwa vile picha na video zake zinatumika mno kuhamasisha watu waingie kwenye mkenge huo.

Cha kusikitisha ni kwamba hatujawahi kumsikia akikanusha jambo hilo wala kulikemea.

Swali letu ni hili, Je Mhusika ni yeye mwenyewe au watu wengine wanatumia video zake?
 
Hahusiki bwana, nadhani zamani aliwahi kulitolea hilo ufafanuzi.

Hatuwapendi lakini tusiwasingizie 😂😂
Kuna jamaa aliwahi kushitakiwa mahakamani kwa kutapeli kwa kutumia jina la Dr Tulia

Yeye mwenyewe hawezi kufanya kitu kama hicho, hata kwa busara ya kawaida tu haiwezekani.
 
Tumeuliza hivyo kwa vile picha na video zake zinatumika mno kuhamasisha watu waingie kwenye mkenge huo.

Cha kusikitisha ni kwamba hatujawahi kumsikia akikanusha jambo hilo wala kulikemea.

Swali letu ni hili, Je Mhusika ni yeye mwenyewe au watu wengine wanatumia video zake?
Ni kweli, Tulia Ackson na Mo Dewji na moja ya clip ya Majaliwa akihamasisha watu wakope zinatumika kuhadaa watu na kuwaibia pesa zao kwa kuchukua malipo ya awali kama crédit processing fee pamoja na bima. Kama wanabisha watoke hadharani kukanusha. Clip za Tulia Ackson za video call zinatumika pia kuibia watu huku vyombo vya Dola vikiwepo. Aibu!.
 
Tumeuliza hivyo kwa vile picha na video zake zinatumika mno kuhamasisha watu waingie kwenye mkenge huo.

Cha kusikitisha ni kwamba hatujawahi kumsikia akikanusha jambo hilo wala kulikemea.

Swali letu ni hili, Je Mhusika ni yeye mwenyewe au watu wengine wanatumia video zake?
Kwani unafukiri hapo ni mwisho,yupo anayejiita billioner mkopesha bajaji kausha damuingekuwa china tungenyonga wengi Sana,ajali za bajaji nyingi ni matokeo ya unyonyaji wa billioner mkopesha bajaji vijana wanazongwa na huyo kausha damu kupitia maelezo.
 
Tumeuliza hivyo kwa vile picha na video zake zinatumika mno kuhamasisha watu waingie kwenye mkenge huo.

Cha kusikitisha ni kwamba hatujawahi kumsikia akikanusha jambo hilo wala kulikemea.

Swali letu ni hili, Je Mhusika ni yeye mwenyewe au watu wengine wanatumia video zake?
Matapeli hao wanatumia video za kuungaunga na sauti za AI kutapeli watu na si Tulia .wamefanya kwa wengi sana zipo za kitapeli wanatumia majina ya MO Foundation , Jokate Foundation ,Jakaya Foundation etc
 
Back
Top Bottom