ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,825
- 39,738
Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho