Elections 2010 PICHA NA VIDEO: Kampeni za Slaa jimboni Kawe leo

Hapo bila wasanii, jana nimemuona mzee singida yupo na watoto kibao kisa wasanii watoto wanakuja kuangalia wasanii,ila nina swali je wote wamejiandikisha?tusije tukaanza kusema tumeibiwa kwa kuangalia umati kumbe wangi hawajajiandikisha!
 
kura yangu ndo maji, bara bara, hospitali ,........

sasa nione mtu anajalibu kuichakachua siku hiyo
 
Imani yangu ni kwamba Slaa atafanya vizuri


ukweli utabaki pake uchaguzi wa mwaka huu ni tofauti sana na chaguzi nyingine kutokana na mambo yafuatayo

miaka yote watu walikuwa wanajiandikisha ili kupiga kura tuu then baada ya hapo kitambulisho hakina kazi tofauti na sasa ambapo watu walikuwa wanajiandikisha ili kupiga kura, kupata kitambulisho ambacho kinaweza kuwasaidia benk kwenye saccos na sehemu nyingine kwa hiyo hata yule ambaye alijiandikisha kwa shughuli nyingine na kupata sera za chama ananafasi ya kupiga kura.

hilo ni technical error kwa ccm na tume kukubali vyitambulisho kutumika kwa shughuli nyingi ila kwa sisi wanamapinduzi hapo tunasema wamejifunga bila kujua.


mwaka 1995 ni tofauti sana sio mwandishi mzuri ela kuna phisibility study tumefanya na kugundua mwaka huu wapiga kura watakuwa ni wengi tena vijana
 
chadema itaweza .....ccm hawana sera mwaka huu....wanawadanganya watu wasiojua mabadiliko ni nini? chadema yes we can!!!! vote kwa chadema ...
 
Where God is fairness is all assured.....Dr. Slaa is an ordained new leader of this great nation.........
 
Ooh god help this man ooooooh bokoz he z going to miss in presidential election ooooh
 
nani anaweza kunionyesha nani ni Mwislamu ama Mkristo kwenye hizo picha
nani anaweza kunichambulia huyu ni mchaga na huyu ni kabila nyingine

ina maana wote walio hapo ni Wakristo (Wakatoliki) na pia ni Wachaga?

janja ya CCM ya Udini imeshindwa
 
Mungu ebu tuwezeshe tufike ile siku ya kumwapisha DR(PHD ) KUWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 
VIVA SLAA,
VIVA CHADEMA:A S-baby::evil::sad::A S cry::thinking::israel::cool::caked:
qpijye.jpg

2emcsas.jpg

xcnmh3.jpg

108af07.jpg

2hrlx0w.jpg


VIDEO:

 
Last edited by a moderator:
Hao ni watanzania wazalendo na wenye akili, hawana cha udini, ukabila wala cha upandre, uchungaji ama ushehe na uchaga. HAPA NI MASLAHI YA TAIFA TU!

Mungu akutangulie Dr. Slaa na hila zote zilizotungwa na zinazotungwa ili kupotoshwa zijichanganye kama mafuta na maji kama ilivyo hata sasa.
 
mimi ndio mwana ccm wa kufa mtu, ila kura yangu nampa
dr. Rev. Peter slaa mkombozi wa tanzania
wana ccm wengine wote
msitupe kura zenu ******,
mkimpa kikwete kura ni kumpa
rostam aziz
lowassa
kikwte na familia yake
makamba na familia yake nchi
mpeni dr. Slaa kura ili watoto wetu wapate elimu wanayao stahili. Kura kwa dr. Slaa wana ccm wote

dr. Slaaa hoyeeeeeeeeeeeeeee
hoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Hii post nimeipenda sana. Ila mkuu I hope hilo ni jina Tu. Coz otherwise Jisalimishe mapema. Huyu jamaa sidhani kama atakwambia rudisha, Ni bora ukarudisha kabla hujaambiwa!!
 
Watanzani wanajua wanataka nini. Tarehe 31/10/2010 wanaenda kuweka mhuri Dr. Slaa kwenda Ikulu.
Ewee mungu tusaidie watanzania. Lazima tulinde kura za watanzania hawa zisije ibiwa na hawa manyang'au
 
Back
Top Bottom